Hummer ya 2007 inauzwa, bei poa

Hummer ya 2007 inauzwa, bei poa

Mkuu kuna mdogo wangu huwa hii gari inaamuuzia kichwa,maana kama angekuwa na nyumba yake sio ya urithi basi.
Gari unakaa kama upo shimoni.

Vogue-Range Rovers au Land Rovers mpya ni gari zenye show nzuri sana na pia zenye heshma.
Maana Hammer unaonekana kama muhuni muhini vile au muuza unga.

Ila kwa kuchukulie madem ni balaa,sipati picha unaingai nayo kijijini kwenu.Lazima kijiji kizma watoke nje

Hhahahaha ni kweli aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom