Well said!
Kusema fulani anacopy bila kusema ancopy wapi ni unafki na inaprove vile mtu anaweza kua first class hater for no reason!
By the way, uandishi unahitaji research ambapo research ni lazima ihusishe literature review ili ujue waandishi wengine walisemaje kuhusu topic unayoiandikia!
Watanzania tunapenda mafanikio, ila tunawachukia waliofanikiwa!
Peace be upon you!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi namheshimu sanaa huwezi jua ukute tayari sema ndo silent killer!!!Shoga Humble African ujue ni full package pia,sijui kwa nini wadada wa jf hawamuoni,majibu yake yanaonyesha mtu wa utulivu anajielewa
Pamoja mkuu!Kaka upo sahihi kabisa na wewe ni mtu wa pili nakuunga mkono hoja.
Katika uandishi pia kuna kuchunga amana kama ilivyo kuchunga amana katika mambo mengine.
Uandishi umegawanyika. Kuna uandishi wa kubuni na kuna ule ambao ni kinyume chake uandishi huu wa pili ni uandishi wa kielimu uandishi wa ukweli,uadilifu na haki,uandishi huu unahitaji umakini sana na kuchunga kutokuwadhulumu watu haki zao.
Hakuna jipya sana katika uandishi hasa huu wa pili,ku nakili hakuepukiki sababu sisi tunasoma kwa wale walio tutangulia na sisis si wa mwanzo. Cha msingi unapo nakili jambo au kauli kutoka sehemu fulani,lazima itoe marejeo ya wapi ulipotoa maandishi au nukuu hiyo au hata kuashiria huku ndio kuchunga amana za watu.
aaaaa ngoja atujibu eti Humble African wewe ushawahiwa humu ndani au nafasi ipo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi namheshimu sanaa huwezi jua ukute tayari sema ndo silent killer!!!
Swali lako ni sensitive sana... Though nishawaiwa hadharani kabisa na huyu binti mrembo hapa mapema tu Mr Miller,Daby,Humble African baada ya kuwamwaga Daby na Miller vibaya.aaaaa ngoja atujibu eti Humble African wewe ushawahiwa humu ndani au nafasi ipo?
aaaaa so Humble wa Zahra white aiseeeeeSwali lako ni sensitive sana... Though nishawaiwa hadharani kabisa na huyu binti mrembo hapa mapema tu Mr Miller,Daby,Humble African baada ya kuwamwaga Daby na Miller vibaya.
Huwa namshukuru sana zahra kwa kuniwahi! She is angelic.
Ahahaha!! Namkubali sana Zahra White ana lafudhi yake ya kiswahili cha Congo akiandikaga... Ananikosha sana!aaaaa so Humble wa Zahra white aiseeeee
yule mpuuzi hana akili kanikera kanimention kwenye maujinga yake kwanza muamala hata haujasoma HumbleAhahaha!! Namkubali sana Zahra White ana lafudhi yake ya kiswahili cha Congo akiandikaga... Ananikosha sana!
Niko busy na engineer kule kwenye battle...panachekesha saana kule.. Though kanikimbia kule vipi kaonekana huku?
Ndezi yule kusababisha hadi nimedisclose baadhi ya private information zangu za kibenki kule kwenye battle kwa vitu ambavyo sikupenda viende public kwa sababu ya mtu kama yeye asie na mbele wa nyuma. Mlala kwenye minara mkubwa yule... Nimemmind!yule mpuuzi hana akili kanikera kanimention kwenye maujinga yake kwanza muamala hata haujasoma Humble
mbavu zangu mieNdezi yule kusababisha hadi nimedisclose baadhi ya private information zangu za kibenki kule kwenye battle kwa vitu ambavyo sikupenda viende public kwa sababu ya mtu kama yeye asie na mbele wa nyuma. Mlala kwenye minara mkubwa yule... Nimemmind!
Yaani kasababisha hadi PM yangu ifurike warembo ambao hata sikuwahi kuwaona kwenye PM yangu. [emoji16][emoji16][emoji16]
Honey please nihakikishie usalama wanguAhahaha!! Namkubali sana Zahra White ana lafudhi yake ya kiswahili cha Congo akiandikaga... Ananikosha sana!
Niko busy na engineer kule kwenye battle...panachekesha saana kule.. Though kanikimbia kule vipi kaonekana huku?
[emoji16][emoji16] ndio ukweli huo lakini...!mbavu zangu mie
Loving you is easy because you are beautiful.... La la la la la la! [emoji176]Honey please nihakikishie usalama wangu
ndo ninasoma comments nacheka sana kakimbia akija anakuja na neno pugi[emoji16][emoji16] ndio ukweli huo lakini...!
Vipi mbona sijakuona kule Best? Au Ndio umatimba kimya kimya na kuwa mpenzi msomaji tu?
Aise hebu ngoja namie nije huko pm kumbe kumenoga ehNdezi yule kusababisha hadi nimedisclose baadhi ya private information zangu za kibenki kule kwenye battle kwa vitu ambavyo sikupenda viende public kwa sababu ya mtu kama yeye asie na mbele wa nyuma. Mlala kwenye minara mkubwa yule... Nimemmind!
Yaani kasababisha hadi PM yangu ifurike warembo ambao hata sikuwahi kuwaona kwenye PM yangu. [emoji16][emoji16][emoji16]
aiseeSwali lako ni sensitive sana... Though nishawaiwa hadharani kabisa na huyu binti mrembo hapa mapema tu Mr Miller,Daby,Humble African baada ya kuwamwaga Daby na Miller vibaya.
Huwa namshukuru sana zahra kwa kuniwahi! She is angelic.
Ile kazi nipatie basi ya kujibu pm[emoji23][emoji23]Ndezi yule kusababisha hadi nimedisclose baadhi ya private information zangu za kibenki kule kwenye battle kwa vitu ambavyo sikupenda viende public kwa sababu ya mtu kama yeye asie na mbele wa nyuma. Mlala kwenye minara mkubwa yule... Nimemmind!
Yaani kasababisha hadi PM yangu ifurike warembo ambao hata sikuwahi kuwaona kwenye PM yangu. [emoji16][emoji16][emoji16]