Kwa hiyo Unamaanisha CCM ndo wamempiga kwa kuwa kwao ni msaliti au? Sijaelewa CDM wamefikaje hapa kwenye mgomo wa madaktari
Sasa mkuu ulitaka serikali wampe ving'ora na bodyguards?
Wamekosea hapo kusema "Most likely alleged to be state agents" wangeacha blank kama hapo mwanzo waliposema "Unknown group of individuals" , kwa kutumia maneno haya inaonesha wao wanakuwa driven na emotions zaidi kuliko weledi! Pathetic!
Je ikibainika huko mbele kwamba wana ugomvi wa kugombea shamba la urithi Dr Ulimboka na ndugu zake?
Lugha gongana!
Mtembea bure sio mkaa bure...ni heri mama Bisimba ameyasema haya, kuliko wale wanaomlaumu bila kutoa suluhisho!
Kwa mtazamo wangu, yeyote aliyefanya haya hasa kama ni state agency; basi itakuwa ni poor timing kwa sababu kwa mtazamo wa kimazingira; huo ni mkono wa Serikali...
Sasa kama ni Serikali; kwa nini mmefanya hivyo? hamuoni kuwa ni sawa na kuweka chumvi kwenye kidonda? Hamuoni kuwa ni sawa na kuwachochea madaktari kufanya mgomo zaidi? EEh Mungu uwawekee mkono wako wagonjwa wote wanaoathirika na mgomo wa madaktari kwa sababu ya upumbavu wa Serikali hasa katika kipindi hiki; wapate kupona!!!
Wamekosea hapo kusema "Most likely alleged to be state agents" wangeacha blank kama hapo mwanzo waliposema "Unknown group of individuals" , kwa kutumia maneno haya inaonesha wao wanakuwa driven na emotions zaidi kuliko weledi! Pathetic!
Je ikibainika huko mbele kwamba wana ugomvi wa kugombea shamba la urithi Dr Ulimboka na ndugu zake?
Mbona na wewe jina ulilotumia hapa JF ni la kiingereza huo kwako ni unini? Kweli nyani haoni...........
Afisa waliekuwa nae alijitambulisha anatoka ikulu, na ndie aliyewaita hao watekaji kuja kumtocha Dr Ulimboka, unabisha nini kama hawa hawakuwa state agents. Watu kama nyinyi Maundumula siku zenu zinahesabika, haya maovu mnayowafanyia wenzenu yana mwisho, muanze kutubu la sivyo mtalia, mtateswa zaidi ya hivyo mlivyomtesa Uli.Wamekosea hapo kusema "Most likely alleged to be state agents" wangeacha blank kama hapo mwanzo waliposema "Unknown group of individuals" , kwa kutumia maneno haya inaonesha wao wanakuwa driven na emotions zaidi kuliko weledi! Pathetic!
Je ikibainika huko mbele kwamba wana ugomvi wa kugombea shamba la urithi Dr Ulimboka na ndugu zake?
Hawa wachumia matumbo wa Nothing Going On (NGO) wapuuzi kabisa, badala ya kusimama na wananchi wanaokufa kila siku kwa kukosa huduma wao wanasimama na huyo msaliti Dr Ulimboka. Inatia kinyaa mama mzima kugeuka kibaraka wa wanasiasa wa CDM.
Kiinglishi? Sasa siye kina Kayumba?}
hii ni press release kwa Watanzania au kwa vibaraka wenu wanaowapa pesa za kuleta vurugu ili nchi isitawalike?....nyie wanaharakati nawachukia sana kwa uchochezi ili kupindua nchi.....mngeandika kiswahili mngekosa ni nini?...
Kumbe ndo mpango wenu kuja kukamata watu na kusema kuna ugomvi wa kifamilia kwa mashamba ya Mabwepande, nimekusoma mkuu. Taarifa moja tu ukumbuke aliitwa na nani toka Leader's Club na kwa hivyo inatosha kukueleza tu kama kuna harufu ya 'state agents'. Huyu jamaa wa kinyarukolo na jamaa aliyetoroka pahala pake kule Gombe akakutana na jamaa wa Magogoni ndo hivo tena wanaamrisha bila kuwaza kama madhara kwa taifa ni nini???? Endeleeni kuandaa hati miliki ya mashamba ya akina Ulimboka huko Mabwepande ili iwe ndiyo hongo yake maana mmekosea hajafa kwa hivo atajengewa nyumba huko kwa kitisho kuwa akisema hamtamwacha tena...tabia mbaya kupindukia.
Afisa waliekuwa nae alijitambulisha anatoka ikulu, na ndie aliyewaita hao watekaji kuja kumtocha Dr Ulimboka, unabisha nini kama hawa hawakuwa state agents. Watu kama nyinyi Maundumula siku zenu zinahesabika, haya maovu mnayowafanyia wenzenu yana mwisho, muanze kutubu la sivyo mtalia, mtateswa zaidi ya hivyo mlivyomtesa Uli.
Wamekosea hapo kusema "Most likely alleged to be state agents" wangeacha blank kama hapo mwanzo waliposema "Unknown group of individuals" , kwa kutumia maneno haya inaonesha wao wanakuwa driven na emotions zaidi kuliko weledi! Pathetic!
Je ikibainika huko mbele kwamba wana ugomvi wa kugombea shamba la urithi Dr Ulimboka na ndugu zake?
Ujinga mtupu, sasa hapa kaongea nini? I thought she is calling for a mass movement against this barbaric deeds by the government! Yeye anatoa kauli ya kulaani? Tena anailaani serikali ya viziwi hii isiyo na hata tone la aibu? Huyu Bisimba naye anazeeka vibaya. Amenichefua tu hapa, sijaona la maana!
Hivi unaweza kusimama mbele za watu na kuanza kulaani matendo ya kichaa? Si utaonekana na wewe ni kichaa tu? Kama kichaa analeta kero mtaani kwenu chukueni hatua za ama kuchangishana hela mmpeleke milembe au mmhamishe mtaani kwenu.
Sasa Bisimba anapolaani vitendo vya serikali ya vichaa hii si anaonekana yeye ndiyo kichaa? Imeshalaaniwa na wangapi na kwa mangapi na hakuna chochote ilichorekebisha zaidi ya ubabaishaji usiokoma? To hell with vyama vya wanaharakati visivyo na meno hivi!
Ningekuwa mimi saa hizi ningekuwa naitisha countrywide demonstration against this brutal act bila kujali ni nani amefanya hilo. Ni kazi ya serikali kulinda usalama wa watu wake na kama imeshindwa iachie ngazi. Period! Sasa analeta longolongo, ashakuwa mwanasiasa?