MKALIKENYA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,196
- 486
acha ujinga wewe ..haki za binadamu unazijua wewe..mlikuwa wapi wakati ndugu zetu wanakufa kutokana na mgomo wa madaktari???leo ndo mnazijua haki za binadamu??... Muungane na nani??kusanyeni familia zenu ili muungane muundamane.. Tumewachoka ninyi na hao madaktari wenu.. Huyo olimboka ndo kaona kifo kikoje... Waauaji wakubw aninyi dr's mnaeka ela mbele .madai ya msingi yametkelezwa lakini bado tu na nia yenu ya kisiasa.
wabongo kwa taarabuMadai ya msingi yapi yaliyotekelezwa na serikali? Si uwapeleke hao ndugu zako kwenye private Hospitals sasa wasife, unamlalamikia nani?
NIMEAMINI WANAHARAKATI WANATUMWA
1- Kwa nini wanatumia kiingereza kutoa press release yao kama siyo kuwafahamisha wafadhili wao wzungu? sidhani kama wanatufahamisha sisi watanzania.
acha ujinga wewe ..haki za binadamu unazijua wewe..mlikuwa wapi wakati ndugu zetu wanakufa kutokana na mgomo wa madaktari???leo ndo mnazijua haki za binadamu??... Muungane na nani??kusanyeni familia zenu ili muungane muundamane.. Tumewachoka ninyi na hao madaktari wenu.. Huyo olimboka ndo kaona kifo kikoje... Waauaji wakubw aninyi dr's mnaeka ela mbele .madai ya msingi yametkelezwa lakini bado tu na nia yenu ya kisiasa.
Nyani Ngabu hapa nilikuwa tu namjibu huyo jamaa lakini kuna post iliyotangulia ambayo nimeeleza ni nini nilitegemea wafanye. If you can quickly scan the first page, you will definitely understand what I thought it should have been done.Sasa wewe ulitakaje? Wakae tu kimya bila kutoa tamko lolote lile kulaani alivyofanyiwa bwana Ulimboka?
Toa basi pendekezo la nini wangefanya au nini wafanye.
Ah ndugu yangu elimu yenyewe ya ngumbaru sheria ntaijulia wapi? Mie nimeuliza tu kama ni sawa walivyoweka 'hadharani na kituhuma" kihivyo kwani hata uhusiano uliwepo lakini bila kuwa na kidhibiti si inawezawageukia? (Ndio maana nikasema pengine wanao ushahidi)
Sijui sheria mie ila nimedesea kisa cha Ray na Mange Kimambi alivyotaka kumshtaki kutokana na kumuhusisha na kifo cha marehemu Kanumba.
Wow unawezakututajia madai unayoita ya 'msingi' yaliyotekelezwa? Wameongeza posho ya kufanyia uchunguzi maiti, hilo ni dai la msingi? Na hamna aliyeomba, ndio uone jinsi serikali yako inavyojitahidi kushuhulika na wewe ukiwa mfu wakati Ct scan muhimbili haifanyi kazi, pamba + gloves inabidi sasa uende navyo hospital. Ukiwa hujui kitu heri unyamaze na sio kutokwa mapovu.acha ujinga wewe ..haki za binadamu unazijua wewe..mlikuwa wapi wakati ndugu zetu wanakufa kutokana na mgomo wa madaktari???leo ndo mnazijua haki za binadamu??... Muungane na nani??kusanyeni familia zenu ili muungane muundamane.. Tumewachoka ninyi na hao madaktari wenu.. Huyo olimboka ndo kaona kifo kikoje... Waauaji wakubw aninyi dr's mnaeka ela mbele .madai ya msingi yametkelezwa lakini bado tu na nia yenu ya kisiasa.
Mbona na wewe jina ulilotumia hapa JF ni la kiingereza huo kwako ni unini? Kweli nyani haoni...........Si wangetumia kiswahili, huu ulimbukeni mwingine wa kiingereza unaboa sasa.
Hawa wachumia matumbo wa Nothing Going On (NGO) wapuuzi kabisa, badala ya kusimama na wananchi wanaokufa kila siku kwa kukosa huduma wao wanasimama na huyo msaliti Dr Ulimboka. Inatia kinyaa mama mzima kugeuka kibaraka wa wanasiasa wa CDM.
Wamekosea hapo kusema "Most likely alleged to be state agents" wangeacha blank kama hapo mwanzo waliposema "Unknown group of individuals" , kwa kutumia maneno haya inaonesha wao wanakuwa driven na emotions zaidi kuliko weledi! Pathetic!
Je ikibainika huko mbele kwamba wana ugomvi wa kugombea shamba la urithi Dr Ulimboka na ndugu zake?
Very very excellent Bisimba