Human Nutrition

kacherema

Senior Member
Oct 3, 2017
115
57
Wakuu kwa mwenye uzoefu mtu mwenye degree ya human Nutrition akiajiriwa pale muhimbili labda kitengo moi, monthly salary anaweza akaanza na package kiasi gani?? Nina sababu ya kuuliza hivi wakuu na ninafahamu jukwaa hili lina watu wa kada hii pia.
 
Back
Top Bottom