Yap magari mbona ni viumbe visivyo hai kwani hilo linakupa shida gani kulijua??Naona unaleta maana dhaifu ya kisayansi hasa biology.
Hapa kabla sijafika mbali. Hivi ukimuuliza mtu wa sayansi ya viumbe. Tofali ataliweka katika kundi gani ?
Hakuna kiumbe ambacho si hai na huu ndio usahihi.
Lakini ajabu mgawanyo wako hata lugha inaukataa. Hivi kuna lugha yoyote inayotambua magari,kiatu na mfano wake kama kiumbe ?
Nipo ....
Mwenyewe umenena vema kuwa ni habari za kale
Sasa kitu kishakuwa Cha kale tena unaniuliza jina la kitabu na muandishi wake_kweli...! Tena na tarehe Kama nilikuwepo vile..!
Hivi unauliza maswali yako kielimu kweli..! Au unanikomoa..!Hivi huko zamani kulikuwa na na utaratibu wa copyright za waandishi...!?
Swali la kizushi Je wewe unaijua tarehe rasmi ya uzinduzi wa kitabu chako kitakatifu...?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuachia hilo swali,nenda kamuulize mwalimu wako au mtaalamu wa elimu ya viumbe.Yap magari mbona ni viumbe visivyo hai kwani hilo linakupa shida gani kulijua??
Sifa za viumbe visivyo hai inamaana huzijui?? Mifano ya viumbe visivyo hai nayo huijui unajua habari za madrsa tu
Nukikwambia gari lipo kundi gani kati ya living things au non living things utanijibu kua gari halipo kwenye kundi lolote kati ya hayo mawili????
Swali langu ni je Mungu wako yuko kwenye kundi lipi kati ya hayo mawili?
Sent using unknown device
Swali la kizushi Je wewe unaijua tarehe rasmi ya uzinduzi wa kitabu chako kitakatifu...?
living things include people, cats, rabbits, bugs, lions, and many others. There are many different kinds of plants, too. Plants can include dandelions, grass, corn, tomatoes and much more.Nimekuachia hilo swali,nenda kamuulize mwalimu wako au mtaalamu wa elimu ya viumbe.
Swali lako nilishajibu huko awali,na hapa napigilia msumari ya kuwa Mola wangu hana sifa ya kiumbe kwani yeye ndio ameumba.
Nipo ...
Nimekuachia hilo swali,nenda kamuulize mwalimu wako au mtaalamu wa elimu ya viumbe.
Swali lako nilishajibu huko awali,na hapa napigilia msumari ya kuwa Mola wangu hana sifa ya kiumbe kwani yeye ndio ameumba.
Nipo ...
Kumbe una AkiliHili la msingi,nilisahau kitabu changu hakikuzinduliwa hili ni neno jipya,bali kitabu changu kilikusanywa na kuwekwa pamoja na kuwa kitabu kamili.
Nipo ....
Kumbe una Akili
Sasa kupitia muda uliotumika Katika ukusanyaji wa taarifa kutokutambulika_je unahisi kumebatilisha maana ya ujumbe au kufanya kitabu kutilliwa Shaka..?
Swali la nyongeza...Je ni Nini kilichokupelekea uamini taarifa iliyomo kwenye kitabu chako kuwa ni moja na sahihi..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kupitia muda uliotumika Katika ukusanyaji wa taarifa kutokutambulika_je unahisi kumebatilisha maana ya ujumbe au kufanya
Na anza na swali la pili sababu swali la kwanza sijalielewa,utanielewesha.
Kitabu changu historia yake iko wazi na imeshikamana na Mola wetu mlezi alisha ahidi ya kuwa atakilinda kitabu hiki kutokamana na kuongezwa au kupunguzwa maneno,ndio Allah aliye juu akasema "Hakika sisi tumeutersha ukumbusho (Qur'aan) na hakika sisi tutauhifadhi."
Nipo .....
Wa kupuuzwa ni wewe na kitabu chako_jina la muandishi wa kitabu chenu unamjua..? Au Muda na siku kilipokamilika unafahamu..?Kutokutambulika kwa muda ni sababu kubwa ya kutilia shaka kile kilicho andika na kukibatilisha pia,bali kukipuuza.
Kwenye misingi ya kuhakiki habari huu ni msingin mama pia. Vipi tutapata uhakika wa kitabu hicho kama habari zake muhimu hazitambuliki ?
Tafakari.
Nipo ....
Hilo swali la Kwanza hujalielewa au limekuzidi Umri...!
Hilo la pili lenyewe unajitutumua tu_Nataka unijibu wewe sio umtwishe mzigo Mungu wako sijui kuwa kaahidi Nini.....!
Narudia_ikiwa huwepo wakati hayo matukio yanafanyika ya ukusanyaji wa hizo taarifa ni Nini kinakupelekea kuichukuliia taarifa kuwa ni moja na sahihi...?
Na kwanini unatushupalia na kutukazia shingo sisi tunaoamini taarifA Kama zako..? Au kitabu chako mwenzetu kina jina la Muandishi..!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa kupuuzwa ni wewe na kitabu chako_jina la muandishi wa kitabu chenu unamjua..? Au Muda na siku kilipokamilika unafahamu..?
Hata ukilita tarehe bado kutakuwa na mushkeli wa karenda mnayotumia_tabu tupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unatafuta pakutokea na hautapoana. Kalenda yetu haijikanganyi na kama wewe ni mkweli leta ukosoaji wako.
Nataka unipe habari za hao Ananak mmezipata wapi ?
Nipo ...
Nasubiri.Huna jipya wewe
Karne ya 21 ya sayansi na teknolojia una Device ya kuingi JF lakini unashindwa kutafuta habari nyepesi za Anunnaki..!
Labda mwenzetu unaishi Karne ya 6_ila ngoja niangalie library yangu yawezaka ni Hardcopy ya ngozi ya Ngamia juu ya Origin ya Anunnaki nikiipata nitakutumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mola wako ni hai basi ni kiumbe haiMola wangu ni hai na yeye ndio ameumba uhai na kifo.
Nipo ....
Kama mola wako ni hai basi ni kiumbe hai
Tukija kwenye sifa ya kiumbe hai ni lazima kile kinywe, kinye, kiongezeke, kijongee, kizeeke hatimae kife
Kwaiyo hizo ni sifa ambazo kila kilicho hai lazima kipitie
Sent using unknown device