Jeremiah Stephin
Senior Member
- Feb 6, 2014
- 122
- 132
Cloning ni mbinu/kitendo Cha kutengeza kopi za vinasaba vya kiumbe flani Kisha kopi hizo hutumika kutengeza kiumbe mwingine mpya(clone).
Kitendo hiki kinahusisha utoaji wa seli,tishu na vinasaba vyote Kisha hupandikizwa kwa kiumbe mwingine(kopi,clone) ambaye hufanana kila kitu na kiumbe Cha asili(ambacho kimetolewa seli,tishu na vinasaba vyake vyote)
Natural cloning hutokea kwa mapacha wanaofanana(identical twins) na kwa viumbe wenye seli moja(single celled organisms) Kama bacteria ambao hutoa kopi zao kila wanapo zalia(multiple fission)
Leo nataka tujadili kidogo kuhusu Artificial cloning ambapo kiumbe mpya hutengeneza kwa kuchukua vinasaba kutoka kwa kiumbe mwingine na wote wakafanana..
Hii hufanyika maabara kwa Teknolojia inayoitwa genetic engineering ambapo vinasaba huchukuliwa kwa mtu mwingine Kisha vinatumika kutengeneza mtu mwingine..
Mtu mpya aliyetengenezwa(clone au kopi) hufanana kabisa na kiumbe halisi.pengine unaweza jiuliza kwa Nini tutengeneze kopi ya mtu?hizi Ni sababu chache ikiwemo za kisiasa,kijamii,uchumi n.k
WATU WALIO FANYIWA CLONING..
Haujawahi kusikia zile story ya kwamba mtu kafa halafu baada ya kuzika unaambiwa kwenye jeneza hakukua na mtu ilikua Ni mgomba?lisemwalo lipo na hiyo ndio cloning ya kichawi Sasa..
Wachawi hutengeneza kopi ya mtu wanaemtaka,mtu halisi wanamchukua halafu nyie mnaachiwa kopi yake ambayo mtaishi nayo kwa mtu halafu inakufa..yule mtu original wanakua nae kwenye shughuli zao
Msiogope Sasa Mimi sio mchawi jamani Ila nime husisha tu cloning inayofanywa maabara na hii ya nguvu za kiza ambayo haina proof za kisayansi Ila wao wanaweza kufanya kwa njia zao za kichawi
Nawasilisha

- Zipo nadharia kuwa Nelson Mandela halisi alifariki mwaka 1985 akiwa Gerezani Ila aliyetoka Gerezani hakuwa Nelson Mandela halisi Bali alikua Ni Gibson Makanda baada ya kufanyiwa cloning na plastic surgery ya uso ili afanane na Nelson Mandela,huyu alifariki 2013..#tutaongea vizuri hili next time
- Rapa Eminem pia inasemekana Eminem hapisi alikufa mwaka 2006 kutokakana na kuzidiwa na dawa za kulevya Ila kutokana na ushawishi wake mkubwa walitengeneza Eminem mpya amabaye tupo nae Hadi Sasa...eminem huyu sio sawa kabisa na yule wa Eight miles
- Beyonce pia yupo kwenye hii list