Hukustahili kufa Katarina…..!

Hukustahili kufa Katarina…..!

=
Alistahili kufa..Maana haijalishi mimba ameipata ktk mazingira yapi,,UHAI NI UHAI
::
Wangapi wameishi na watoto wao,kwa masimango na watoto wao wamekua..ALISTAHILI KUFA
=
 
R.I.P. Katarina, hawa wanaume ni makatiri sana. Sasa huyu kumbaka Katarina na kumtishia si ukatiri huu!

Ungewahi kumchumbia!
 
Mtambuzi unatoaga wapi hizi story? Very touching story, maskini Katarina R.I.P!
 
oooh!pole kaka! Mpumbavu marehemu karatina!angeishi mpaka ajifungue na akiona ananyanyaswa sana ndipo aripoti kituo cha polisi?wadada tujifunze kitu
 
Back
Top Bottom