Kwa nia njema tu kabisa nauliza🙁na si kwa kubeza au vinginevyo): Kwa nini hukumu nyingi (si zote nisisitize) za Mahakama kuu zikienda Mahakama ya rufaa huwa zinatenguliwa? Nimefanya utafiti usio rasmi na kujiridhisha kuwa iko hivyo. Kesi hasa za mauaji, rape , economic crimes (list not exhaustive).
Nadhani kuna tatizo la msingi ambalo idara ya mahakama iliangalie kwa nia njema tu ya kuboresha utoaji haki