Sasa watuhumiwa wote wako huru isipokuwa Zombe peke yake ndo kabakia tusubiri maamuzi ya mwisho.kwa mujibu wa ripota wangu ni kamba wanaendelea kuisoma.amelalamika kwamba spika zao zimechoka sana,zinazizima tu.
Sasa watuhumiwa wote wako huru isipokuwa Zombe peke yake ndo kabakia tusubiri maamuzi ya mwisho.
Bora kujichukilia sheria mkononi tu...........!
zombe kaachiwa rasmi!
case closed
zombe kaachiwa rasmi!
case closed
Whaaaat??!!!!Zombe kaachiwa rasmi!
Case closed
Wote wameachiwa akiwemo Zombe na Mahakama (ambapo haki ndipo ilipo) imeamua kuwafutia mashtaka isipokuwa ikalitaka jeshi la Polisi kuwasaka waliohusika na mauaji kwani hawa watuhumiwa hawakuhusika.ni kweli kabisa ,haki haipo.
Mkuu hupo kwenye jukwaa la jokes!
zombe kaachiwa rasmi!
case closed
Mkuu Naminyo, daima sheria huwa tunataka ichukue mkondo wake, na hali ndivyo ilivyokuwa.Hatutaki hatutaki invisible...mahakama gani hiiii