Mımı nataka kuuliza nini hatma ya huyu muhuni Peter Serukamba sababu nashindwa hata kumwita mweshimiwa sababu ya maneno machafu ya kulizalilisha bunge na nchi kwa ujumla.sijui sheria naomba muongozo, kama kuna kila ushaidi mpaka wa video inayo onyesha na kusika serukamba akitoa maneno ambayo kwamtu wakawaida hawezi kuyatamka na akijua kwamba posho anazozipata zinatoka kwenye kodi za watanzania na nanafasi alıyoipata imetokana na watanzaia.sasa kama uwenda spika hakuweza kuyasikia maneno yale wakati serukamba anayatoa au hakuweza kutafakari na kupajibu la haraka sababu ni lugha ya kigeneni alitumia.naamini kwa sasa analojibu sahihi ya neno alilotamka Serukamba,Je kulingana na ushaidi uliopo katika clip na malalamiko ya wananchi kupitia vyombo vya habari mbalimbali ni jukumu gani spika anastaili kulichua kwa Serukamba ili kesho hasiweze kutamka maneno machafu kama haya,kama hakuna hiyo sheria ya kumuhukumu sababu bunge lilishapita ni kwanini spika asitumie madaraka yake kwa kumuhukumu huyu muhuni na kuingiza hiyo sheria katika kumbukumbuku za bunge ili iweze kuendelea kutumika kama Naibu spika alivyoweza kutumia cheo chake kuwaukumu wabunge wachadema kwakutumia sheria ambayo haipo katika vitabu vya bunge.
Je! chama chake anachotoka wamechukua atua gani kwa huyu mbunge wao sababu na amini katika chama chake lazima kutakuwa na kamati ya maadili, je kamati hiyo inampango gani kuwaonyesha watanzania kuwa huyu serukamba kakosa na tumemwazibu kwastaili hii ili kesho hasiweze kurudia kosa ilo na kuonyesha kuwa ccm si mahali pawauni kama watu wanavyo isi sasa kutokana na maneno yaliyo tamkwa na serukamba,katika maadili ya mtanzania mtu yoyote mwenye umri unao karibiana au sawa na baba yake basi mtu huyu unapaswa kumweshimu kama baba yako na heshima sikuzote inaendana na woga.nataka kusema Serukamba ndani ya bunge kuna wazee ambao wanaumri sawa na wazazi wake na waliyokuwa akiangalia kipindi cha kupitia TV wengine wana umri zaidi ya wazazi wake je wametendewa haki.pili bunge haliangaliwi na wazee tu hata vijana wa secondary,chuo,primary je kawa fundisha nini vijana wetu,İna maana huyu mtu hasipokanywa mapema kesho ata mrukia mtu kichwa ndani ya bunge na hatokuwa na makosa sababu alikosa msaada wakukanywa mapema kujua lipi baya na lipi zuri.CCCM RUDİSHENİ İMANİ KWA WATANZANİA HASA KATİKA MAADİLİ HUYU MBUNGE ANAPASWA KUPEWA HAZABU KALİ KUTOKA KATIKA CHAMA CHAKE NA SPİKA PIYA.SABABU SPIKA ANAYO NAFASI YA KUTOA UKUMU HATA KAMA HAIMO KATIKA KANUNI ZA BUNGE.NAMSHUKURU NDUNGAI KUTUONYESHA INAWEZEKANA KUFANYA HIVYO SASA NI WAKATI WA SPIKA KUFATA NYAYO ZA NDUNGAI ILI AWEZE KUTOA AZABU KALI KWA SERUKAMBA. kwa muono wangu takukuru fatilieni ushindi wake wakıti cha ubunge inaonyesha zairi hawa ndio wanao tumia mabavu ya pesa zao kupata ubunge na ndiyo maana hawaogopi,hawaeshimu kwakujua kwamba kinacho mwingiza madarakani si mwananchi bali ni pesa zake.USHAURI KWA SERUKAMBA KAMA MTAZANIA MWENZANGU ITISHA MKUTANO NA WAANDİSHI WA HABARI OMBA MSAMAHA KWA WATANZANIA PILI NENDA JIMBONI KWAKO KAOMBE MSAMAHA.NAAMINI WATANZANIA WATAKUELA SABABU MTOTO NI MTOTO TU ATA AKIKOSA AKIOMBA MSAMAHA TUNAAMINI HATA YEYE AKUFURAHISHA NA TUKIO ILO KWAHIYO HALITA JIRUDIA.