Hukumu ya Pistorious

goodhearted

JF-Expert Member
Feb 15, 2015
969
1,216
Hatimae Oscar Pistorious ahukumiwa kifungo cha miaka sita jela kwa kumuua mpenzi wake Reeva mwaka 2013

Sheria msumeno
 
Miaka 6...saved by celebrity status just like OJ Simpson ingekua sio hvo angekula maisha jela huyu..
 
Back
Top Bottom