Hukumu ya kesi ya zombe et al

macinkus

JF-Expert Member
Sep 15, 2007
260
19
Kwa watafiti, hii ndio hukumu ya kesi ya zombe na wenzake kama ilivyo somwa na jaji masati...............

Macinkus
 
Attachments

  • High+Court+rulling+on+Abdallah+Zombe+et+al.pdf
    476.2 KB · Views: 589
...kama ilivyo somwa na jaji masati....

Ina maana mtu amei transcribe haya maandishi ( kaandika alichosikia), au hii ndio official record ya hukumu kama ilivyotolewa na mahakama kimaandishi baada ya kusomwa hukumu?
 
I don't think this is the official record as it doesn't bear the signature of Masati and no high court seal!
The bottom line is YOTE NI PUMBA TUPU AU NI USANII MTUPU!!
 
tunataka the real judgement toka kwa mwenyehaki massati,..sio hii aliyo type mtu chumbani kwake..font na style ni obvious sio toka katika records za mahakama kuu.
 
Hiyo ndiyo real judgement waheshimiwa me nimeisoma katika soft copy nyingine ikiwa na mhuri ila katika hiyo copy amepunguza spacing tu na font size imepungua hivyo. katika original version ina kurasa kama 230 hivi.
 
wazee hiyo ndio real judgment
 
Attachments

  • ZOMBE'S JUDGMENT.pdf
    609.3 KB · Views: 173
wazee hiyo ndio real judgment

Mkuu asante kwa kutupatia more organised copy. Ila tu kama ni kushindwa basi DPP na DCI kama hawakupanga haya yawe usanii basi kutakuwa na serious problem kwa staff wao!!! Kwa mtu anayefahamu sheria kwa makosa waliyofungulia kesi basi ni automatic Zombe asingekamatika!!!

Sasa basi, kisheria kwa kuwa inaruhusiwa kufungua kesi mpya dhidi yao na judge Masati aliwapa mwanga kabisa, je wako tayari kufungua kesi mpya ili upelelezi ufanyike tena including ule wa mwanzo au wanakimbizana na Rufaa ambayo kwa vigezo vile vile vya Judge Masati watashindwa??? Wasikurupuke maana wataendelea kutia aibu ya mwaka na confidence zao mahakamani zitashuka sana.
 
Waendesha mashtaka wawe makini sana kwenye wording ili kuwaepusha akina Zombe kushtakiwa mara mbili kwa makosa yaleyale! Hata hivyo naona wame-opt kukata rufaa Mahakama ya Rufani badala ya kuwatafuta actual murderers badala ya accessories before the fact na kuwa-bring to book kama alivyoshauri Jaji Masati!
 
Back
Top Bottom