Hukumu ya kesi ya Abdul Nondo kesho

Hukumu ya kesi ya Abdul Nondo kesho

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
nondo.jpg
 
Kumbuka mimi ni Mwandishi wa Habari tena ninaye fahamika vizuri sana sina chama chochote karibu sana kwenye ofisi zetu zilizopo Magomeni Mwembe chai
Huna chama? Pitia habari zako unazozitoa humu! Ya nini kujificha, kwani ukisema wewe mpinzani ni uhaini! Wana CCM sio malaika, kuna wasio waaminifu miongoni mwao! Kosoa kotekote, Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka mimi ni Mwandishi wa Habari tena ninaye fahamika vizuri sana sina chama chochote karibu sana kwenye ofisi zetu zilizopo Magomeni Mwembe chai
Mnafiki Mzandiki katika ubora wako uliotukuka. Huna hata aibu ya kujiita wewe ni Mwandishi wa Habari...labda ni Mhandisi wa Habari.
Mtayarishie ndoo na mche wa sabuni huyo Mrundi mwenzako.
 
Back
Top Bottom