Hukumu ya kesi namba 1308....

Mimi nimeona tu mtu kaandikiwa "you are HIV positive..."
Hapa mdau anasema ni M/V...
 
Hukumu ya makanikia ikiandikwa hivi na kuwekwa mtandaoni waTanzania tutapigiana mno simu kuulizana kama tumeelewa chochote.
 
Chagua kukosa 11,000/= taslimu

Hahahaaahaaaaa. ukiutoa huo mkono namalizia. panapoonekana sana ni hapa tu...

alleged he sustained

1) Fracture of the right tibia leg bone

2) Dislocation of hip encountered at the

Toeni mkono huo kwenye karatasi nitiririke, kuna 11000 naiona
 
Mkuu naona unainyatia hela ya supu.
 
Thanks... Twende kazi
 
Tarime nyingi zikiwa ni za mauaji
Uchagani nyingi zikiwa za wizi
Uzaramoni nyingi zikiwa za talaka wivu wa mapenzi
Bukoba nyingi zikiwa utapeli[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu wa bukoba jamani!!.Nahisi kuna kaukweli maana nna rafiki zangu kama watatu wanatoka huko wakianza ongea wanakupa mawazo maneno yao wakimpanga mtu asie wajua lazima watamroma tu..
 
Ni kitu cha kawaida kwani judge/hakimu anaandika kitu ambacho mtuhumiwa/shahidi anazungumza kwa mdomo!! Lazima aandike hivyo.
hii imekaa hivi: watu kama hawa wanaandika kwa kasi sana. hii inatokea ili kuendana na kasi ya ubongo unavyofikiri. Yaani ni kwamba ubongo wa hawa jamaa unafikiri kwa kasi kuliko mikono (vidole) vyao vinavyoweza kuandika maandishi.
 
Hahaaaaa. Umeshindwa kuutoa mkono kwenye karatasi? nasubiri niendelee
πŸ˜€
Dah umenikumbusha jamaa yangu mmoja stingi kishenzi kwa mademu alikuwa mkopi mwanzo mwisho siku moja akakutana na komesha yake. Wakaenda kunako wakavua nguo, ile jamaa anataka kuingiza kirungu kikamatwa na mkono wa kushoto na mkono wa kulia ukanyooshwa juu
Akauliza nini tena ! Akaambiwa nipe changu kwanza......ilibidi jamaa atii

Ndugu yangu mimi sio mkopi
 
Hahaaaaaaa. Umenifanya nicheke mbele za watu hapa. Jamaa alisahau siku za mwizi ni arubaini.
Mambo ya toa mkono hayo... Hutaki kufuata nyayo za jamaa yako
πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…