.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Wao wana Polisi sisi tuna Nguvu ya Umma. Nina hakika Mungu ataendelea kuwa Upande wetu
Kesho ndiyo ile kesi ya makongoro na mpendazoe mm binafs nina uwakika wa chadema kushinda kudhihirisha hilo nitabeba bendera na vuvuzela la chadema na kutinga nalo mahakamani kesho asubuhi mida ya saa nne wewe je?
naona majaji ndo wanawasili sasa. wa2 ni wengi ila waswahili wa kwamnyamani wamesusa.
we chaji simu kabisa maana magamba wanaeza endesha mgawo kesho.tutakaa online tangu mapema kesho okey jamani?
Mungu gani huyo, Mungu hawi upande wa vilaza kama Chadema.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".