Hukumu ya jimbo la segerea kesho

Status
Not open for further replies.
Imefikia wakati mtandao huu unatumiwa vibaya- watu wanapost mambo ambayo hayana tija. Mfano ni post hiyo hapo juu. Ombi langu kwa moderators ni kuwa post kama hizi zisipate nafasi katika jamii forum tena.
 
Huyu jamaa akili zake za usiku anazijua yeye mwenyewe.....na kama kalogwa basi aliyemloga kasha kufa....
 
Tunachohitaji ni haki itendeke na si mahakama ifanye kazi kwa utashi wa watu au kikundi fulani.

Mahakimu/majaji pia ni watu, na wana utashi. Na kama jaji ****** **** ndiye atatoa hukumu ya hiyo kesi, sadly Makongoro lazima ashide kesi. Naishia hapo ..
 
Imefikia wakati mtandao huu unatumiwa vibaya- watu wanapost mambo ambayo hayana tija. Mfano ni post hiyo hapo juu. Ombi langu kwa moderators ni kuwa post kama hizi zisipate nafasi katika jamii forum tena.

Watu wanavuta bangi wewe unakunywa kazi kweli kweli pipooooooozz
 
CCM haitakubali kuachia hilo jimbo. Piga, ua, galagaza hilo ni jimbo la CCM. Na Mnyika akae vizuri kuna kila uwezekano wa kumpiga chini kwenye kesi yake.
 
jimbo la Ukonga katu halitaenda upinzani,kama huamini subiri utaona kuna mpango kabemva wa Magamba kurudisha majimbo yote ya Dar Subiri utaona Ubungo.
 
jimbo la Ukonga katu halitaenda upinzani,kama huamini subiri utaona kuna mpango kabemva wa Magamba kurudisha majimbo yote ya Dar Subiri utaona Ubungo.

Kwenye ballot box ndipo watakaposhindwa! we hate you MAGAMBA!!!
 
angalia usilipulize vuvuzela lako nahakamani usije swekwa lupango!

Kesho ndiyo ile kesi ya
makongoro na mpendazoe mm binafs nina uwakika wa chadema kushinda
kudhihirisha hilo nitabeba bendera na vuvuzela la chadema na kutinga
nalo mahakamani kesho asubuhi mida ya saa nne wewe je?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom