Hukumu ya Godbless Lema 29 Oct 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hukumu ya Godbless Lema 29 Oct 2012

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by mnyinda, Oct 29, 2012.

 1. m

  mnyinda JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna tetesi kuwa leo ndiyo hatma ya aliyekuwa mbunge wa Arusha Godbles Lema tunaomba mwenye taarifa atujuze
   
 2. d

  dotto JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hukumu ilikuwa daraja mbili Arusha jana.
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Huna ulijualo.
   
 4. Rahajipe

  Rahajipe Senior Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Walioko AR mtujuze kinachoendelea.
   
 5. Wikiliki

  Wikiliki JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wanajf bila kukosea kwa mujibu wa habari leo ndio tarehe ya uamuzi wa pingamizi la awali la rufaa ya kesi ya mbunge Lema inatakiwa kutolewa hivyo ninaomba kwa yeyote atakayepata habari asisahau kutuhabarisha.
  Asanteni sana.
   
 6. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Hukumu ilishatolewa siku nyingi ila leo ni uamuzi wa mahakama kuhusu rufani.
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Hebu wasiliana na akna Ngongo, Ritz, chama, Mr. emmi, Desi Mangola. hawa wanaweza kukupa update ya hukumu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Mkuu maamuzi yanafanyikia dar
   
 9. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Waliopo Dar mtujuze maana show nzima inafanyikia huko.
   
 10. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mungi bahati mbaya niko nje mkoa wa Arusha nitarejea kesho.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hivi ni leo Jumatatu tarehe 29 Oct 2012 au ni Alhamis tarehe 29 Nov 2012?
   
 12. m

  mnyinda JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mungi ndiye mfatiliji mkuu wa hii ishu toka mwanzo hivyo jukumu ni lako baba,
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ni kweli uamuzi wa kesi ya Lema unatolewa leo jiji Dar . Nimesoma hii habari katika gazeti la HabariLeo. Waliopo katika hayo maeneo watujuze.
   
 14. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #14
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Mkuu mnyinda maamuzi yanasomwa Dar, na mimi nipo Arusha. labda Yericko Nyerere au Mwita Maranya kama wanaweza kutupia manewz humu..........................
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #15
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  imekula kwetu leo duh.
  alaaniwe aliyepeleka hii kitu Dar badala ya Arusha
   
 16. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Najua watamalizia hasira zao kwenye hii kesi baada ya kuwaburuza vibaya DARAJA 2.
   
 17. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Naona huruma sana Kamanda wetu akiliwa kichwa leo,maana JK alishasema sasa Arusha kumetulia.....hawawezi kumrudisha hata iweje labda kama JK hakuteua majaji wote wale waliopo pale na labda kama hawawajibiki kwake hata kuombwa tu favor kusaidia chama!!!!!
   
 18. commited

  commited JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Yeriko nyere tupe maupdate mkuu plzzz
   
 19. m

  mnyinda JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dar wamelala ishu kubwa namnahiyo hakuna mfuatiliaji????? Hata kemp ya jf siipo dar??tuwachangie nauli yakufuatilia hii ishu!!!
   
 20. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #20
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Twasubiri updates toka kwa wenzetu walio karibu!
   
Loading...