Hukumu ya Dowans ya ICC yatua Mahakama Kuu Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hukumu ya Dowans ya ICC yatua Mahakama Kuu Dar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ng'wanza Madaso, Jan 19, 2011.

 1. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hukumu ya Dowans ya ICC yatua Mahakama Kuu Dar

  Na Waandishi wetu
  19th January 2011

  [​IMG] Mchakato wa kuisajili waanza
  [​IMG] UVCCM nao waipinga Dowans

  [​IMG]
  Mitambo ya Dowans

  [FONT=ArialMT, sans-serif]Hatimaye Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Migogoro ya Biashara (ICC), imewasilisha hukumu yake Mahakama Kuu ya Tanzania, inayoiamuru Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kuilipa fidia ya Sh. bilioni 94 kampuni ya kufua umeme wa dharura ya Dowans Tanzania Limited, kwa madai ya kuvunjiwa mkataba wake.[/FONT]


  Endelea hapa http://www.ippmedia.com/

  My take:Kumekucha ndo maana kumekuwa na vikao vyingi vya dharura
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  hivi ni 94 billion au 185 ?
  na kama ni 94 ile 185 ilitoka wapi?
   
 3. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mkuu hapo bado wanatuchanganya,inaonekana hii bei ni ya mapatano. Inaonekana Serikali wameomba kupunguziwa.

   
Loading...