Unajua hili ni tusi kwa familia za marehemu hao..na ubutu wa sheria zetu mufilisi ambazo zinabariki wavunja sheria huku zikiwaumiza wanaoattempt kufanya makosa...too bad...kwa hesabu zisizo rasmi ina maana na mwendesha bajaji km angepatwa umauti ndugu Chenge angetoa Tsh 950,000/= hii ikiwa na maana ni 250,000 kwa watu watatu na makosa mawili ya nyongeza!
Kiungwana huyu bwana angestahili kukaa aside kidogo kujihusisha na shughuli za kisiasa km njia mojawapo ya ku-regret aliyofanya japo hakukusudia (huenda)...kwa mfumo huu itachukua muda mrefu sana hisia za usawa kukaa mioyoni mwa watu!