Hukumu Rufaa ya Godbless Lema yaiva

teh teh teh...kazi mbona tunayo. Tunakataa ukweli tunaishia kufanya vituko tu
 
This Country bana.......

Read my Signature.......
 

nimependa kwenye red...........
liwe liwalooo
 
Hivi Lema akishinda rufaa baadaye CCM wakaipinga kwa kigezo cha jopo la majaji ku- include mtu ambaye si jaji itakuwaje? Technically huyu mzanzibar si jaji.

Hivi unaweza kukata rufa tena baada ya hii...?
 
Bora wamrudishe, anateseka sana kwa sasa. Anaishi kwa posho ya M4C. Mikutano ikisimama anakufa njaa.
 
namtakia kila la heri Kamanda Lema. Mungu ni mwema.
 
Huyo jaji kilaza hapo ni janga hilo!
Hebu wana sheria mtusaidie kama hauna imani na jaji hatua gani unafanya???
Maanake hapa Lema anaweza kuwekwa kati tena!
 
akishinda ataenda bungeni akishindwa ataendelea na M4C so magamba kazi kwao kuchuga M4C au aende bungeni its a win win situation.
 
hivi lema akishinda rufaa baadaye ccm wakaipinga kwa kigezo cha jopo la majaji ku- include mtu ambaye si jaji itakuwaje? Technically huyu mzanzibar si jaji.

so painful, kachaguliwa kuwa jaji kabla ya kwenda shule! Inaniuma saaaana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…