Hukumu Rufaa ya Godbless Lema yaiva

Nakuambia watamrudishia kwasababu huku mtaani ndio kero zaidi.
 
Mabwepande Chagueni sasa, Lema Arudi Dodoma au Abaki na M4C????
 
MEMBER

MUMBURYA UMENIFURAHISHA SANA HII NDI JF HAPO NI MEMBER MOD EMBU MPE SN MEMBER TAFADHALI NIRUDISHE MEMBER ...TUNAPENDA WACHAMBUZI KAMA HAWA ....ILA UNAKAA KWA MUDA USIOTE MIZIZ UKAANZA KUTUKANA WALEZI WAKO WAKINA DIDY'S
 
jaji wa rufaa mbarouk salim mbarouk
wakuu huyu bwana lema kama anaweza kuomba hilo jina liisiwepo atakuwa amesaidia..huyo bwana akiongea bwana wake aseme hivi nawaambia ajibu kitu....anyway wanasema kuna wakati wa kulia na wakati wa kucheka sie tulilia naamini wakati huu wa kucheka mungu awatie moyo vijana wetu wa chadema
 
Tunaimani mbunge wetu Lema ataibuka kidedea safari hii pamoja na kuwa baadhi ya majaji hawana sifa!
 
Aiseee baba yangu lema akishinda nyinyiemu itakuwa haina jinsi itabidi 2 wakimbilie mwebwepande
 
Aiseee baba yangu lema akishinda nyinyiemu itakuwa haina jinsi itabidi 2 wakimbilie
webwepande

yeeeeeeewiiiiiii ngoja nipate mbege nikalime
 
Molemo
hapa hamna kitu Lema atulie tu aendeleee na kazi yake ya ujangiri kama zamani na kukwiba magari ya watu Arusha kama alivyotuhumiwa na Zombe kwakuwa wanajuana vizuri..

Ubunge asahau kwa sasa

Mkuu mbona unatoa tuhuma nzito nzito bila ya ushahidi? Jenga hoja mkuu na si ku attack mtu kihivyo, hata kama ni jukwaa huru lakini tunajadili issues!
 
Baada ya kuvuliwa nguo na report ya Tundu Lissu nina wasiwasi Mbarouk Salim Mbarouk anaweza kuleta PERSONAL VENDATTA dhidi ya CDM (read Lema).

GOD BLESS LEMA
 
Duh, ila lile liutetezi wa Lisu ulikuwa wakati muafakaaaaaaa, sasa ndoja tusubiri
 
Jaji wa mahakama ya rufaa kutoka znz anayedaiwa hana degree ya sheria ya chuo kikuu kwa mujibu wa masharti ya kanuni za uteuzi wa majaji nchini amepangwa kuwa kati ya majaji watatu wa mahakama ya rufaa Tanzania kusikiliza rufaa ya Mhe. Godbless Lema anayepinga kutenguliwa ubunge wake na mahakama kuu ya Tanzania.Rufaa hiyo iliyopangwa kusikilizwa na majaji watatu akiwemo MBARUOK Mbarouk itatajwa 20/09/2012.Nafasi ya jaji huyo kihiyo kwa mujibu wa kanuni na sheria za mahakama hataweza kusababisha mtafaruku wa kisheria kama ataendelea kuwa kwenye jopo ilo pindi hukumu itatolewa kwa wakata na wapinga rufani?.
 
Kweli Hii Nchi Kila kitu Kinachakachuliwa!! Hadi Majaji? Voda Faster!!
 
Labda Mkuu alikosea akafikiri amempagia MBARUOK Mbarouk kwenye mahakama ya kadhi Ngoja tusubiri
 
Haya ndio matatizo ya kuingiza siasa kwenye taaluma za watu!!!
 

huyu MBAROUK MBAROUK ndiye yule anayetajwa kwenye ripoti ya utetezi wa Tundu Lissu??????
can somebody do something
 
Haya ndio matatizo ya kuingiza siasa kwenye taaluma za watu!!!
Tatizo DHAIFU mda mwingi yupo nje kuhemea lini atapata mda wa kusoma ripoti?mda mwingi anakuwa kachoka na usanii ndio unaanzia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…