Hukumu live! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hukumu live!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mnyaluhala., Aug 24, 2012.

 1. M

  Mnyaluhala. Senior Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mambo vipi wadau! naomba kuelimishwa juu ya uendeshaji wa kesi hapa nchini ambao vyombo vya habari haviruhusiwi kurush laivu kesi inapoendelea mahakamani. Kwani nimeona tv za nje zikilusha laivu hukumu mbalimbali mfano ile ya rais wa misri nk. je hii ipoje ni taratibu zetu tu au ni za kisheria au tunatiafutiana uendeshaji kesi?
   
Loading...