hukumu kesi ya lema

Status
Not open for further replies.
Du! kweli hii imekaa vibaya. hakuna taarifa ambayo imenisikitisha kama hiyo. Wanachadema wa Arusha Pls msife moyo. bado nafasi mnayo kutetea kiti chenu. Na pia muwe na uvumilivu epukeni vurugu kwa maslahi ya WanaArusha
 
Turudi tena ulingoni, Aluta Continue!
 

Mambo ya kisheria hayataki utabiri wewe subiri hukumu ndio useme.
 
Mod mmekosea kuachia uzi ulioanzishwa na anayetegemea habari toka kwa wengine. kila aina ya mauongo yatawekwa hapa.
 
kweli lema mbunge wetu kapigwa chini?ha ha haa!! hatawafanyeje cdm ina twaa tena hilo imbo tena
 
Walioko mahakamani wanasema Lema kavuliwa ubunge. Cdm chipangeni upya, jimbo litarudi kwenu tena
 
Reactions: FJM
duuh inasikitisha sana!!halafu mama mwenyewe yupo ubalozini
 
Kuna uvumi kuwa Lema kavuliwa Ubunge naomba mlio mahakamani m2juze
 
ubunge wa mh Lema umetenguliwa na mahakama leo. Nawapa pole wanaChadema,chama na bunge zima kwa kumkosa mbunge kijana. Natamani cdm wamsimamishe Lema jimbo lirudi!

Yaani kwa kesi ya kipumbavu kama hiyo?lakini hakijaarika kitu anarudi Tena kugombea na hilo jimbo haliendi CCM,kama ndio target yao wamenoa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…