OMUSILANGA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 384
- 228
hofu ya ninindiyo wakuu ,heshima kwenu ! Kwa mujibu wa taarifa toka kwa wakili wa lema ,ndgu kimomogolo muda mfupi uliopita akiwa mwanza kushughulikia sintofahamu ya kesi ya madiwani mwanza, amedai kuwa jana amepokea taarifa toka mahakama kuu ya rufaa kuwa tarehe 21/12/2012 ndo itakuwa siku ya hukumu kutolewa. My take :- tumwombe mungu ili nuru ishinde giza .
Ndiyo Wakuu ,Heshima kwenu ! Kwa mujibu wa taarifa toka kwa Wakili wa Lema ,ndgu Kimomogolo muda mfupi uliopita akiwa Mwanza kushughulikia Sintofahamu ya kesi ya Madiwani Mwanza, amedai kuwa jana amepokea taarifa toka Mahakama kuu ya Rufaa kuwa tarehe 21/12/2012 ndo itakuwa siku ya hukumu kutolewa. My take :- TUMWOMBE MUNGU ILI NURU ISHINDE GIZA .
HAKI huwa haibakwi milele - na Hakimu mkuu ni Mwenyezi mungu pekee. We pray!!!Ndiyo Wakuu ,Heshima kwenu ! Kwa mujibu wa taarifa toka kwa Wakili wa Lema ,ndgu Kimomogolo muda mfupi uliopita akiwa Mwanza kushughulikia Sintofahamu ya kesi ya Madiwani Mwanza, amedai kuwa jana amepokea taarifa toka Mahakama kuu ya Rufaa kuwa tarehe 21/12/2012 ndo itakuwa siku ya hukumu kutolewa. My take :- TUMWOMBE MUNGU ILI NURU ISHINDE GIZA .
kwani inawezekana lema akashindwa kupokea hukumu katika hali flani?Naamini Mungu ataenda kutenda haki na ampe nguvu za ujasiri Ndug. G. Lema aweze kupokea hukumu iwayo yote ile!!!!
Naamini Mungu ataenda kutenda haki na ampe nguvu za ujasiri Ndug. G. Lema aweze kupokea hukumu iwayo yote ile!!!!
itakuwa ndio siku ya mwisho wa dunia kwa wale wasio na imani