Huku zina zinabebea mizigo....!!!

Huku zina zinabebea mizigo....!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
IMG-20171020-WA0007.jpg
 
Kwa tajiri cha nini kwa masikini nitakipata lini..[emoji22][emoji22]
 
Ni akili ya mtu tu....huko lazima ni uncivilized society kwasababu kwenye civilized society yoyote kufanya hivyo ni kinyume na sheria za usalama wa vyombo vya moto!
 
Ni akili ya mtu tu....huko lazima ni uncivilized society kwasababu kwenye civilized society yoyote kufanya hivyo ni kinyume na sheria za usalama wa vyombo vya moto!
Ni kweli chief
 
hapo ndipo mtu/raia anakuwa na fedha nyingi kuliko serikali na jamii inayomzunguka
 
Jaman gari si yake mwacheni abebe anacho taka

Au kuna mtu alimsaidia kulipa ata ndururu
 
Unajua MTU asipojua thaman ya kitu anaweza hata kubebea mbuzi ndani ya Jaguar, Range Rover au V8
 
Wenzie huwa tunakuwa na gari maalum kwa ajiri ya shambani.

Tatizo mama kaijage hapendi kuelekezwa.
 
Kwa bidhaa alizobeba hapo napata shaka kama ana akili timamu. [emoji20]
 
Unajua MTU asipojua thaman ya kitu anaweza hata kubebea mbuzi ndani ya Jaguar, Range Rover au V8

Waarabu wanabeba chui au simba kwenye gari iliyo kuwa clotted na gold sembuse iyo mianzi sijui miwa....


Bwana weee embu mwacheni [emoji78][emoji78]
 
Back
Top Bottom