Huku wataka na kule wataka.....

Labda alimuzima kiwalo sasa amegoma kurudisha. Nadhani hapo wamekutana maeneo ya Pweza mitaa ya tanga kunani kama sii Chichi maana hayo mandhari yanaelekeana kiasi fulani
 
...anananihii nini??? kangaroo ana mbeleko tumboni mwake, hapo alikuwa anamchopoa mtoto wake aende kuoga! you dirty mind Boflooooo unamsingizia kangarooooo wa watu bure!
wakati kangaroo kakamatia goma kabisa.
 

hahahaahha.......kumbe ndio maana anaitwa papa au kipapa
 
wacha nipate gahwa kdg kisha nirudi......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…