Huku uswahilini kuna Mambo MGAWO MPAKA MISOSI..!


ChescoMatunda

ChescoMatunda

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2009
Messages
1,189
Likes
68
Points
145
ChescoMatunda

ChescoMatunda

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2009
1,189 68 145
Kumbe vijiwe vya mjini vina Mambo mgawo sio umeme tuu..
Maisha ya DAR tunayajua wenyewe jamani!

hongera walio "SHAMBA" Ambako wanachinja "KUKU" Na Kuliwa Nyumba Hiyo Hiyo!

Hapa Dar "KUKU" Anachinjwa "KISUTU"

Shingo Inaliwa "KINONDONI"

Kibawa kinaliwa "MANZESE"

Kidari "TABATA

Paja "OYSTERBAY"

Firigisi "MASAKI"

Miguu "MBAGALA"

Mbavu "MIKOCHENI"

Utumbo "TANDIKA"

Kichwa "TANDALE"

Mgongo "MWENGE"

Ngozi
"KEKO"

CHEZEA DAR WEWE, MSOSI WETU KAMA MGAO WA "UMEME" KILA MTU LAZIMA APATE.
 

Forum statistics

Threads 1,237,651
Members 475,675
Posts 29,295,730