Huku SUA Tunaisoma namba, Majina ya mikopo hayatolewi

vyuo vyote sawa hakuna cha hadhi kubwa wala ndgo,ili mradi vyote viwe vyuo na vina wanafunz wanaosoma shahada so usishangae hamjapewa hadi leo,cha msing nyie wenyew n viongoz wenu muungane mfatilie kwa makini hilo suala msitegemee kuwa bodi watakuja wao wenyew huko kuwaleteeni,eti hadhi kubwaa.wachangamsheni viongoz wenu na nyie muamue msisubir.
 
Leo mweziii toka bodi watoe mikopo kwa wanafunzi lakini leo ni mwezi hela ya kujikimu(boom) kwa vyuo vyenye hadhi kubwa kama SUA ni janga....majina hayatoki ya kusign hadi leo wanatoa ma wili mawil...duh tunaisoma nmba
Polen watu tunamsubil boom La pili saiz
 
vyuo vyote sawa hakuna cha hadhi kubwa wala ndgo,ili mradi vyote viwe vyuo na vina wanafunz wanaosoma shahada so usishangae hamjapewa hadi leo,cha msing nyie wenyew n viongoz wenu muungane mfatilie kwa makini hilo suala msitegemee kuwa bodi watakuja wao wenyew huko kuwaleteeni,eti hadhi kubwaa.wachangamsheni viongoz wenu na nyie muamue msisubir.

Endeleeni kijinadi eti vyuo vya hadhi. MWALIMU NYERERE MEMORIAL tulishapata Na zimeisha kutumika. Tunasubiri zingine. Wewe Mwenye hadhi endelea Na uhadhi wako
Hivi hamjafahamu alivyokusudia au?
Mfano Harvard University na Oxford University utazifananisha na UCLA au Yale?? Au UDSM na SUA utafananisha na UDOM au Kampala University??
 
Na huku muhamize ndugu zenu waliokopa nyuma walipe mpate kuendelea vema mbele. Ila naona kelele kukopa ila kelele hakuna kuhimizana kulipa wadogo zenu wapate hiyo mikopo
 
Hivi hamjafahamu alivyokusudia au?
Mfano Harvard University na Oxford University utazifananisha na UCLA au Yale?? Au UDSM na SUA utafananisha na UDOM au Kampala University??
hapo unaenda nje,coz ishu iko vp tunangalia kupatiwa fedha ya kujikimu au mkopo,ko unatak kunambia kwamb hvo vyuo ambvyo vyeny hadhi wao ndo wapew kwanz then wengne wafate nd maana yako? tuache habar y wasomi sis kw sis kuwekeana matabak,wakat jukumu letu ni wte kusom instituitions tofaut za elmu ya juu,ili kuja kujenga nchi mkuu.so wte wapate bum kwa wakati unaopaswa.
 
Leo mweziii toka bodi watoe mikopo kwa wanafunzi lakini leo ni mwezi hela ya kujikimu(boom) kwa vyuo vyenye hadhi kubwa kama SUA ni janga....majina hayatoki ya kusign hadi leo wanatoa ma wili mawil...duh tunaisoma nmba
Siku hizi hakuna KUNJI?
 
Back
Top Bottom