figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,673
- 59,144
Leo Mbeya imesimama tokea asubuhi Kazi hazifanyiki. Mnasimamishwa masaa manne kupisha mwenge na haupiti.
Mara upishane na Malori yanaenda kwa Samia kwenye mikutano yake. Mnasimamishwa masaa matatu. Mwenge sijui utaondoka lini Mikoani.
Kipindi hiki Nashauri upelekwe Zanzibar ambapo hakuna mabasi wala Malori. Harakati za Samia na Siasa zinatutosha kwenye foleni na zinatulaza njaa.
Hivi mkisema ameshinda kabla ya uchaguzi mtapungukiwa nini? Sababu mnapoteza muda na rasilimali.
Kama mnathubutu kuteka na kuua, mtashindwa kutamka Samia kashinda hata kama watu hawajampigia kura?