Nimekukamata leo wanisema mie mroho wa samaki kumbe na wewe hujambo sungura1980 siku ukitupikia hiyo mihogo itabidi ununue samaki wengi tusije kamatana mikono wakati wa kula lol