huku ni kutamanishana au!!!

uzuri mmoja mie mshamba wa vyakula hata hivi sijavitamani
 
Nikiwa ughaibuni hivi vyakula vinanitesa nakuwa sina jinsi!nikija Bongo hivyo hivyo mpaka nizoee!
 
Ahh sijatamani aiseee ungeniweke mnofu wa nyama ya kuchoma hapo au jisamaki lazima udenda ungenitoka!
 
umekosa maneno ya kuweka jamvini
 
Nilidhani unaongelea kile chakula ambacho hakichanganywi na chumvi,kumbe...aaagh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…