huku ni kudhalilika ama ndio njia ya kupata misaada???!!!

Rebel volcano

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
403
86
kiongozi mmoja wa nchi ya africa sijaweza kumtambua kwa jina akipewa maombi ya kidavid cameron!!
 

Attachments

  • wv 699.jpg
    wv 699.jpg
    41.9 KB · Views: 204
Jamani huu ndio utaratibu rasmi wa kutawazwa na Malkia wa Uingereza kuwa "Sir" Ni utaratibu uliorithiwa toka karne nyingi katika utawala wa Kiingereza. Hauna uhusioano na udhalilishaji. Malkia hugusa bega moja baada ya jingine la mtawazwa kwa sime kama inavyoonekana kwenye picha
 
Back
Top Bottom