Huku ni Kuchanganyikiwa Kwa Wanaharakati

Hawaoni watakuwa wanasapoti agenda ya udini kwa kuandamana siku ya krismas? Itaonekana ni maandamano ya wakristo. Ila ndugu Etugrul Bay nikuhakikishie kuwa haitawezekana kwa sababu krismas ni siku inayoheshimika zaidi na wakristo wa Tanzania na huwa ni siku maalum ya familia. Wachaga wote hupotea mjini na kujichimbia migombani wakila na kunywa. Hakuna mtu atapoteza muda kuandamana kwenye hiyo siku.
 
Hapana ni j29
 
View attachment 3514011

My people,​

ukifuatilia kile kinachofanywa na wanaharakati hakika utashangaa huwa wanafikiria nini?

Baada ya kupanga tarehe za maandamano na Serikali kuchomoa waya kwenye betri kila uchwao,sasa wanakuja na idea nyingine

Wanataka kuandamana siku ya sikukuu ya Krismass,sababu ni kwamba siku hiyo ni lazima watu watoke waende makanisani kwahiyo serikali haiwezi kuwazuia

Hii ni kuonyesha mbinu zote sasa zimeshindikana sasa wanataka kuzinajisi sherehe za kidini,huu ni ujinga mkubwa mnataka kufanya

Wananchi msikubali huu ujinga hata kidogo,ni wakati sasa wa kutumia akili zenu na sio kufuata au kufanya kila mnachosikia in the name of kuikomboa Tanganyika

Tukubali kwamba tumeishiwa power na hatuwezi kuiangusha serikali ya Mama Samia, sasa tujikite zaidi kupeana elimu ya katiba ili kesho au kesho kutwa mchakato ukianza basi tuwe tunajua yapi ya kuwepo na yapi yasiwepo

Haya makelele ya Maandamano hayana tija tena,sio muda wa kuleta taharuki na kupoteza amani ya nchi yetu,kumbuka mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe na mbomoa nchi mwananchi mwenyewe

Kwa niaba ya Team Amani,wakiwemo Invisible Mafia
iamwangdamin
adriz
stakehigh

Na wengine aluta continua

Ni hayo tu!
Ni hivi, Samia hana uhalali wa umma, tutafanya mambo ambayo haitakaa itokee kiongozi mwingine au chama chochote kuchezea la box la kura.
 
View attachment 3514011

My people,​

ukifuatilia kile kinachofanywa na wanaharakati hakika utashangaa huwa wanafikiria nini?

Baada ya kupanga tarehe za maandamano na Serikali kuchomoa waya kwenye betri kila uchwao,sasa wanakuja na idea nyingine

Wanataka kuandamana siku ya sikukuu ya Krismass,sababu ni kwamba siku hiyo ni lazima watu watoke waende makanisani kwahiyo serikali haiwezi kuwazuia

Hii ni kuonyesha mbinu zote sasa zimeshindikana sasa wanataka kuzinajisi sherehe za kidini,huu ni ujinga mkubwa mnataka kufanya

Wananchi msikubali huu ujinga hata kidogo,ni wakati sasa wa kutumia akili zenu na sio kufuata au kufanya kila mnachosikia in the name of kuikomboa Tanganyika

Tukubali kwamba tumeishiwa power na hatuwezi kuiangusha serikali ya Mama Samia, sasa tujikite zaidi kupeana elimu ya katiba ili kesho au kesho kutwa mchakato ukianza basi tuwe tunajua yapi ya kuwepo na yapi yasiwepo

Haya makelele ya Maandamano hayana tija tena,sio muda wa kuleta taharuki na kupoteza amani ya nchi yetu,kumbuka mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe na mbomoa nchi mwananchi mwenyewe

Kwa niaba ya Team Amani,wakiwemo Invisible Mafia
iamwangdamin
adriz
stakehigh

Na wengine aluta continua

Ni hayo tu!
Nawe siku zote humu hujifanya kuwa na 'moderation' za kujifichaficha; lakini sasa naona joto limezidi inalazimu kila mmoja wenu atoe kila alicho nacho kulinda jahazi lisizame.

Hili ni swala abalo sasa halizuiliki mkuu 'Ertuglu' (mturuki).

Samia na kKikwete wamelivuruga vibaya sana; hasa kwa kuruhusu kumwaga damu ya waTanzania isiyokuwa na hatia yoyote.

Haya maswala ya dini mnayoyaweka mbele sasa ili yawasaidie kubaki madarakani, matukio yake ni yale yale mnayoyajuwa. Mtaitawala Tanzania ambayo ni mithili ya Sudan?

Sasa kama wewe unaona ukombozi wa nchi hii unasimamiwa na hao "wanaharakati", ambao wewe unaona lebo hiyo ni mbaya zaidi ya uovu anaoufanya Samia Suluhu Hassan, basi acha wawe wanaharakati, matokeo yoyote yatakayopatikana kwa uanaharakati huo yakisaidia kuondoa uovu wa Samia Suluhu na Genge lake, waTanzania hawatajali hiyo lebo unayowavika hao watu.

Bila shaka sasa unasubiri hiyo serikali ipige marufuku waTanzania kushiriki Xmas; na baada ya hapo itakuwa nini; sherehe gani itakaypigwa marufuku?

Hiyo unadhani bado itakuwa ni nchi ya kujivunia hiyo?
 
Mtu nikishachat nae kwa muda,anaweza fake muandiko ila hawezi fake personality,

Anaweza fake mawazo ila hawezi fake thinking pattern na flow yake.

Issue ni dini au nini, mbona upo too intelligent for such gibberish.
 
trump amekua msemaji wetu lini
Akizungumzia CNN anakuwa msemaji wako.

Juzi huyo mfugaji wako kaambiwa hapo hapo Ikulu na Balozi, kuwa vurugu za kuhusisha udini, kama ilivyo Nigeria zitawanyima visa ya kwenda kwa huyo huyo Trump mnayemtymia kutetea upumbavu wenu.
 
ssue ni dini au nini, mbona upo too intelligent for such gibberish.
It doesn't matter, how one seemingly appears to be intelligent when it comes to religious fanatism. This to some people is an addictive issue.
 
Akizungumzia CNN anakuwa msemaji wako.

Juzi huyo mfugaji wako kaambiwa hapo hapo Ikulu na Balozi, kuwa vurugu za kuhusisha udini, kama ilivyo Nigeria zitawanyima visa ya kwenda kwa huyo huyo Trump mnayemtymia kutetea upumbavu wenu.
vp mmetuongezea siku tena muha
 
🤣 🤣 🤣 tarehe yetu ya mwisho ulisema ni lini tena
Nguruwe huhitaji kuambiwa hilo; mtafute mfugaji wako Samia Suluhu Hassan atakupa dalili za lini hapatakuwepo na makombo ya kukutupia wewe nguruwe wake.
 
View attachment 3514011

My people,​

ukifuatilia kile kinachofanywa na wanaharakati hakika utashangaa huwa wanafikiria nini?

Baada ya kupanga tarehe za maandamano na Serikali kuchomoa waya kwenye betri kila uchwao,sasa wanakuja na idea nyingine

Wanataka kuandamana siku ya sikukuu ya Krismass,sababu ni kwamba siku hiyo ni lazima watu watoke waende makanisani kwahiyo serikali haiwezi kuwazuia

Hii ni kuonyesha mbinu zote sasa zimeshindikana sasa wanataka kuzinajisi sherehe za kidini,huu ni ujinga mkubwa mnataka kufanya

Wananchi msikubali huu ujinga hata kidogo,ni wakati sasa wa kutumia akili zenu na sio kufuata au kufanya kila mnachosikia in the name of kuikomboa Tanganyika

Tukubali kwamba tumeishiwa power na hatuwezi kuiangusha serikali ya Mama Samia, sasa tujikite zaidi kupeana elimu ya katiba ili kesho au kesho kutwa mchakato ukianza basi tuwe tunajua yapi ya kuwepo na yapi yasiwepo

Haya makelele ya Maandamano hayana tija tena,sio muda wa kuleta taharuki na kupoteza amani ya nchi yetu,kumbuka mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe na mbomoa nchi mwananchi mwenyewe

Kwa niaba ya Team Amani,wakiwemo Invisible Mafia
iamwangdamin
adriz
stakehigh

Na wengine aluta continua

Ni hayo tu!
Haki itadaiwa wakati WOWOTE na Kwa mbinu zozote Hadi ipatikane. Walianza akina Mkwawa wakashindwa, wakaja akina Abushir Wakashindwa, wakaja akina Milambo wakashindwa, wakaja akina Kinjekitile wakashindwa pia, lakini wakaifanya serikali ya kikoloni itafakari na kurekebisha baadhi ya Sheria na kutoa nafuu Kwa watanganyika. Akaja Nyerere akafanikiwa ingawa Kwa vitimbi, kufunguliwa Kwa kesi za uchochezi, kupigwaa mabomu n.k. Hii haikumrudisha nyuma, hatimae Tanganyika ikawa huru kutoka mikono ya wakoloni waliotutawala Kwa ujumla ya miaka 75. Safari ya ukombozi haijawahi kuwa fupi na lelemana.

Hata akina Martin Luther King Jr, katika kupigania haki za mweusi huko Marekani waliitwa wachochezi, vibaka, wavuruga amani lakini hawakurudi nyuma. Waliuliwa, waliteswa na kusalitiwa na weusi wenzao walionunuliwa au kurubuniwa na wazungu lakini bado walisonga mbele, hadi haki ya mweusi ikapatikana nchini Marekani.
Nikiona unashabikia ujinga nasikitikia sana. Jifunze tu japo kidogo kutoka Kwa Humphrey Polepole na Godfrey Mwambi, walikuwa sehemu ya mfumo wakaushabikia na sasa, kimewalamba. No one is safe in the hands of oppressor. What the oppressor knows is just his/her interests.
 
View attachment 3514011

My people,​

ukifuatilia kile kinachofanywa na wanaharakati hakika utashangaa huwa wanafikiria nini?

Baada ya kupanga tarehe za maandamano na Serikali kuchomoa waya kwenye betri kila uchwao,sasa wanakuja na idea nyingine

Wanataka kuandamana siku ya sikukuu ya Krismass,sababu ni kwamba siku hiyo ni lazima watu watoke waende makanisani kwahiyo serikali haiwezi kuwazuia

Hii ni kuonyesha mbinu zote sasa zimeshindikana sasa wanataka kuzinajisi sherehe za kidini,huu ni ujinga mkubwa mnataka kufanya

Wananchi msikubali huu ujinga hata kidogo,ni wakati sasa wa kutumia akili zenu na sio kufuata au kufanya kila mnachosikia in the name of kuikomboa Tanganyika

Tukubali kwamba tumeishiwa power na hatuwezi kuiangusha serikali ya Mama Samia, sasa tujikite zaidi kupeana elimu ya katiba ili kesho au kesho kutwa mchakato ukianza basi tuwe tunajua yapi ya kuwepo na yapi yasiwepo

Haya makelele ya Maandamano hayana tija tena,sio muda wa kuleta taharuki na kupoteza amani ya nchi yetu,kumbuka mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe na mbomoa nchi mwananchi mwenyewe

Kwa niaba ya Team Amani,wakiwemo Invisible Mafia
iamwangdamin
adriz
stakehigh

Na wengine aluta continua

Ni hayo tu!
Hata kipindi cha Idd Amin kulikuwa na watu kama wewe.
 
.mkuu, mie ninamchumkia vby huyo boss wenu samuya, yaani nikipewa paipu akiwa mbele yangu namaliza ugomvi!
 
Nafikiri ungepumzika sasa mkuu, kwa Leo imetosha..ifike mahala utambue JF sio chakula
Wanalipwa kwa commission. Unapewa unapewa buku 7 kulingana na idadi ya threads ulizoandika kwa siku, na user name zao zinatambulika na waliowapa kazi pale lumumba. Fuafilia huyu, stakehigh na pakome utagundua
 
View attachment 3514011

My people,​

ukifuatilia kile kinachofanywa na wanaharakati hakika utashangaa huwa wanafikiria nini?

Baada ya kupanga tarehe za maandamano na Serikali kuchomoa waya kwenye betri kila uchwao,sasa wanakuja na idea nyingine

Wanataka kuandamana siku ya sikukuu ya Krismass,sababu ni kwamba siku hiyo ni lazima watu watoke waende makanisani kwahiyo serikali haiwezi kuwazuia

Hii ni kuonyesha mbinu zote sasa zimeshindikana sasa wanataka kuzinajisi sherehe za kidini,huu ni ujinga mkubwa mnataka kufanya

Wananchi msikubali huu ujinga hata kidogo,ni wakati sasa wa kutumia akili zenu na sio kufuata au kufanya kila mnachosikia in the name of kuikomboa Tanganyika

Tukubali kwamba tumeishiwa power na hatuwezi kuiangusha serikali ya Mama Samia, sasa tujikite zaidi kupeana elimu ya katiba ili kesho au kesho kutwa mchakato ukianza basi tuwe tunajua yapi ya kuwepo na yapi yasiwepo

Haya makelele ya Maandamano hayana tija tena,sio muda wa kuleta taharuki na kupoteza amani ya nchi yetu,kumbuka mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe na mbomoa nchi mwananchi mwenyewe

Kwa niaba ya Team Amani,wakiwemo Invisible Mafia
iamwangdamin
adriz
stakehigh

Na wengine aluta continua

Ni hayo tu!
Dogo umekua fala sana. Sina budi kukutaarifu ya kwamba nakuweka ignored list.
 
Ukiwa mdini lazima ukose akili,pole ila shetani Samia lazima aondoke na ataondoka tuu, kutetea utekaji na uuaji lazima uwe na mental illness
 
Back
Top Bottom