N Nonda JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 13,358 Reaction score 4,308 May 21, 2019 #41 Sky Eclat said: Kuwa sheria ya mifuko ya plastic itafunga wengi. Click to expand... Hapa serikali imebuni chanzo kipya cha mapato. Askari wanaweza kukubambikizia mifuko ya plastiki ili iwe "fundisho" kwa wengine. Ndesalee said: Kweli tutasombwa sana kwa hiyo adhabu.. Click to expand... Ni vyema kulinda mazingira.
Sky Eclat said: Kuwa sheria ya mifuko ya plastic itafunga wengi. Click to expand... Hapa serikali imebuni chanzo kipya cha mapato. Askari wanaweza kukubambikizia mifuko ya plastiki ili iwe "fundisho" kwa wengine. Ndesalee said: Kweli tutasombwa sana kwa hiyo adhabu.. Click to expand... Ni vyema kulinda mazingira.