Yuyo Ahumile Shamalendi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2018
- 993
- 785
Mkuu siyo kwamba kama ni kweli bali hata mi hilo tangazo nililisikia, halafu watanzania hatuna tabia ya kuhifadhi kumbukumbu pia kuna tangazo lingine nalo pia tujiandae kisaikojia, hili ni la nguo za mitumba, hili nalo lilitangazwa tangu 2016 nadhani wanasubiri viwanda vya nguo tu vikamilike, vikikamilika tu hakuna nguo za mitumba kuletwa nchini.Serikali imejiandaaje huo muda wote kama ni kweli? Halafu kama walikuwa wanaongezewa muda ni kosa kubwa. Kwa kiongozi aliye makini anasema eg baada ya mwaka mmoja na nusu kuanzia siku fulani ni mwisho wa matumizi ya mifuko ya plastic. Kipindi hichi cha mpito zinatafutwa njia nyingine mbadala za ku-replace hiyo mifuko.
Nauliza, serikali ilijiandaa namna nani na ''post-marufuku ya mifuko ya plastiki'' situation?Mkuu siyo kwamba kama ni kweli bali hata mi hilo tangazo nililisikia, halafu watanzania hatuna tabia ya kuhifadhi kumbukumbu pia kuna tangazo lingine nalo pia tujiandae kisaikojia, hili ni la nguo za mitumba, hili nalo lilitangazwa tangu 2016 nadhani wanasubiri viwanda vya nguo tu vikamilike, vikikamilika tu hakuna nguo za mitumba kuletwa nchini.
Nimekwambia hivi watanzania hatuna tabia yakutunza kumbukumbu hili jambo si geni wala si jipya.Nauliza, serikali ilijiandaa namna nani na ''post-marufuku ya mifuko ya plastiki'' situation?
Ndugu yangu wee, nauliza muda wote serikali iliandaaje hali itakayojitokeza baada ya kupiga marufuku? Wewe unangangania kumbukumbu kumbukumbu.N
Nimekwambia hivi watanzania hatuna tabia yakutunza kumbukumbu hili jambo si geni wala si jipya.
Tena sisi tuna shida sana kwenye masuala ya kumbukumbu na kuzifanyia kazi, mfano mmojawapo ni lile suala la kuzima simu feki, watu waliendelea kutumia simu feki mpaka wakazimiwa wakati walipewa tangazo kwa muda mrefu, likaja suala la viroba nalo likawa hivohivo na mengine mengi, sasa subiri hili suala la kusajili laini watu watakavofungiwa na kuanza kulalamika wakati tangazo wamepewa mapema na kila siku wanakumbushwa kwa meseji.Nauliza, serikali ilijiandaa namna nani na ''post-marufuku ya mifuko ya plastiki'' situation?
Huna lolote wewe. Kama ni kumbukumbu labda wewe ndiyo kilaza.Tena sisi tuna shida sana kwenye masuala ya kumbukumbu na kuzifanyia kazi, mfano mmojawapo ni lile suala la kuzima simu feki, watu waliendelea kutumia simu feki mpaka wakazimiwa wakati walipewa tangazo kwa muda mrefu, likaja suala la viroba nalo likawa hivohivo na mengine mengi, sasa subiri hili suala la kusajili laini watu watakavofungiwa na kuanza kulalamika wakati tangazo wamepewa mapema na kila siku wanakumbushwa kwa meseji.
Mkuu wewe unayo yote na pia siyo kilaza ambae unhoji leo kua serikali ilijiandaaje wakati tangazo lilitangazwa mwaka juzi, ungehoji kipindi hicho hicho cha tangazo kutolewa.Huna lolote wewe. Kama ni kumbukumbu labda wewe ndiyo kilaza.
No walijikita in durability now they have seen the impact also pressure from other countriesZamani tulikuwa tunatumia mifuko ya karatasi,Tena yale ya sement wanatengeneza
Nani aliruhusu hii mifuko ya plastiki kutengenezwa hawakuona Hilo tatizo kabla
No walijikita in durability now they have seen the impact also pressure from other countries
Kama tukiendelea kutumia mifuko ya plastic kwa kazi hii si muda mrefu hatutakua na hata ardhi ya kulima.Swali langu lipo hapo hapo, wataalam wa mazingira hawakufanya utafiti wa kina
Miaka 1990 kurudi nyuma mifuko ya plastiki ilikuwa kwa watu wenye uwezo
Hapa umezidi kuonyesha uzembe katika kulishughulikia hili tatizo. Kumbe mitambo ndiyo inabadilishwa sasa hihi. Najua hatutaelewa kwa sababu wewe hujui maana ya ''uongozi'' bali unafikiria ''kutawala'' ndiyo kuongoza. Hapo ndipo ilipo shida.Mkuu wewe unayo yote na pia siyo kilaza ambae unhoji leo kua serikali ilijiandaaje wakati tangazo lilitangazwa mwaka juzi, ungehoji kipindi hicho hicho cha tangazo kutolewa.
Na vile vile sisi ndo tunaoleta shida ya ubishi kujifanya tunajua kuhoji, wakati tangazo liko mwishoni, wenye viwanda vyao hawana shida wameelewa na wameshaanza kubadilisha baadhi ya mitambo ili watengeneze mifuko mbadala, ubishi na kujifanya tunajua hoja hatutafika mbali.
Vipi kuhusu maganda ya pipiUle una exemption n kwakua unakulinda
Acha uoga! Serikali haina magereza ya kurundika watu wote hao... Kwanza itawalisha nini wakati serikali hailimi?Hii sheria ya jela siku saba kwa kumiliki au kutumia mfumo wa plastic itafunga wengi sana.
Mkuu wewe unaonekana unapenda kubishana na kukimbilia kauli zako tata kama unaona mjadala umekushinda si unyamaze tu.Hapa umezidi kuonyesha uzembe katika kulishughulikia hili tatizo. Kumbe mitambo ndiyo inabadilishwa sasa hihi. Najua hatutaelewa kwa sababu wewe hujui maana ya ''uongozi'' bali unafikiria ''kutawala'' ndiyo kuongoza. Hapo ndipo ilipo shida.