Hicho chakula ni kizuri kabisa kwa afya na sio chips yaiunga nusu -500
bamia na majani ya maboga -300
Nyanya,hoho bilinganya -600
uduvi- 500
mafuta -200
Huku kuna Mgomo wa Chipsi yai...![]()
Ha ha ha mkuu utabaki hivyohivyo kuonewa na scorpion na kina rambo kwa kula hayo madudeView attachment 432844
Hii kitu hatari najua mnapenda ila ndio mtafanyaje sasa tuacheni na misosi yetu.
True! Ila tatizo hakuna nyama.Hicho chakula ni kizuri kabisa kwa afya na sio chips yai
Huko ndio kuishi kama mashetani mkuu???unga nusu -500
bamia na majani ya maboga -300
Nyanya,hoho bilinganya -600
uduvi- 500
mafuta -200
Huku kuna Mgomo wa Chipsi yai...![]()
Ugali wa sembe Hamna kitu,tumia Dona mkuu.unga nusu -500
bamia na majani ya maboga -300
Nyanya,hoho bilinganya -600
uduvi- 500
mafuta -200
Huku kuna Mgomo wa Chipsi yai...![]()