Huku Mbweni kuna ICD's ni ya nani?

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,652
20,987
Mh. Waziri mkuu Majaliwa hii bandari kavu ya Mbweni, nani mmiliki yaani watu, wanabeba miziigo na wanasindikizwa na vyombo vikubwa kabisa mpaka
kwenye ami.

Mbaya zaidi unaona gari za mamlaka fulani zikikimbiza wenye mzigo zikiwasimamisha atujui wanachoongea unaona tu wanaingia ndani ya gari wanatoka wanayaacha haya magari yanaendelea kubeba mizigo nani mmiliki wa hii bandari.

Mheshimwa Waziri Mkuu.
 
Mtafute muandishi wa jamuhuri fasta, akiandika tu mchezo umekwisha, JPM anasoma vyombo vya habari atamtuma Majaliwa huko,.
 
weka picha kiongozi, ili tulikomeshe suala hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…