Huku Mbweni kuna ICD's ni ya nani?

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,041
23,487
Mh. Waziri mkuu Majaliwa hii bandari kavu ya Mbweni, nani mmiliki yaani watu, wanabeba miziigo na wanasindikizwa na vyombo vikubwa kabisa mpaka
kwenye ami.

Mbaya zaidi unaona gari za mamlaka fulani zikikimbiza wenye mzigo zikiwasimamisha atujui wanachoongea unaona tu wanaingia ndani ya gari wanatoka wanayaacha haya magari yanaendelea kubeba mizigo nani mmiliki wa hii bandari.

Mheshimwa Waziri Mkuu.
 
Mtafute muandishi wa jamuhuri fasta, akiandika tu mchezo umekwisha, JPM anasoma vyombo vya habari atamtuma Majaliwa huko,.
 
MH. WAZIRI MKUU MAJALIWA
HII BANDARI KAVU YA MBWENI
NANI MMILIKI YAANI WATU
WANABEBA MIZIIGO NA
WANASINDIKIZWA NA VYOMBO
VIKUBWA KABISA MPAKA
KWENYE LAMI
MBAYA ZAIDI UNAONA GARI ZA
MAMLAKA FULANI ZIKIKIMBIZA WENYE
MZIGO ZIKIWASIMAMISHA
ATUJUI WANACHOONGEA
UNAONA TU WANAINGIA
NDANIYA GARI WANATOKA
WANAYAACHA HAYA MAGARI
YANAENDELEA KUBEBA MIZIGO
NANI MMILIKI WA HII BANDARI
MH PM
weka picha kiongozi, ili tulikomeshe suala hili.
 
Back
Top Bottom