Amesema wapi hiyo weka evidenceRussia kaanza kuchagua miji midogo midogo huko mwanzo alisema ataimaliza Kiev kwa wiki moja mwaka wa pili unaenda wapo busy na drones tu...
Putin alikuwa mjinga sana kuweka vita mlangoni mwakeUkraine ikifa, ukawa uwanja mkubwa wa vita, hakika hata Russia haitakuwa na amani ktk maisha yao yote.
Na hapo ndipo kutakuwa na utata mkubwa ktk utawala wa Russia.