Huku kwetu ukiacha simu namna hivi simu yenyewe ita vibrate kwa kuogopa kuibiwa

Hiyo simu, waleti na headphones nivya aliyepiga picha hiyo...hatutaki drama tuko live na maisha...
 
Kuna mpemba fulani hivi alikuwa anauzaga sendozi kali kumbe alikuwa anaibaga msikitini asee siku hizi simwoni tena sijui walishagawana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…