Huku kwetu ukiacha simu namna hivi simu yenyewe ita vibrate kwa kuogopa kuibiwa

financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Messages
2,151
Points
2,000
financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined May 17, 2017
2,151 2,000
Sasa kwanini umemupachika huyo baadala ya kumtafuta unaye fanana nae?
Eeh, sikujua kama ni lazima mkuu, wewe ndye huyo Kwa profile? Ama unaelekeana naye?, hongera, nimeweka hiyo ili uje uniilize maswali kama hayo, nikujibu hivoo
 
Lord eyes

Lord eyes

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2018
Messages
4,506
Points
1,995
Lord eyes

Lord eyes

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2018
4,506 1,995
Eeh, sikujua kama ni lazima mkuu, wewe ndye huyo Kwa profile? Ama unaelekeana naye?, hongera, nimeweka hiyo ili uje uniilize maswali kama hayo, nikujibu hivoo
Kwa avatar yangu huyu tunaelekea na kwa asilimia 99.9,% ila tofauti yangu na yake yeye ni Raila wa woshitong dc na mimi ni mtanzania 😉
 
wa stendi

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Messages
10,848
Points
2,000
wa stendi

wa stendi

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2016
10,848 2,000
Kuna mpemba fulani hivi alikuwa anauzaga sendozi kali kumbe alikuwa anaibaga msikitini asee siku hizi simwoni tena sijui walishagawana!!!
 

Forum statistics

Threads 1,303,744
Members 501,077
Posts 31,490,832
Top