financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,094
- 40,614
Ila nna tabia njema kumzidi huyo (joke bana)Narudia hivi hivi unaweza kufanana na huyo msaudhi?
Ila nna tabia njema kumzidi huyo (joke bana)Narudia hivi hivi unaweza kufanana na huyo msaudhi?
Big big noo, Mimi ni kifupi nyudo, kibonge and black in colour. Sielekeani kabisa na huyooo
Nani alikudanganya kuwa hiyo picha imepigwa nchi ya Kiarabu?Waarabu wanachukia west countries lakini wanatumia lugha zao. Mfano hapa sakafuni pameandikwa shoes beyond this P
HAWA WATU NI WAPUMBAVUHiyo simu, waleti na headphones nivya aliyepiga picha hiyo...hatutaki drama tuko live na maisha...
Ila nna tabia njema kumzidi huyo (joke bana)
Eeh, sikujua kama ni lazima mkuu, wewe ndye huyo Kwa profile? Ama unaelekeana naye?, hongera, nimeweka hiyo ili uje uniilize maswali kama hayo, nikujibu hivooSasa kwanini umemupachika huyo baadala ya kumtafuta unaye fanana nae?
Kwa avatar yangu huyu tunaelekea na kwa asilimia 99.9,% ila tofauti yangu na yake yeye ni Raila wa woshitong dc na mimi ni mtanzania 😉Eeh, sikujua kama ni lazima mkuu, wewe ndye huyo Kwa profile? Ama unaelekeana naye?, hongera, nimeweka hiyo ili uje uniilize maswali kama hayo, nikujibu hivoo
Mmmh, haya bana lord eyes, nipe deal sasa,nipate pesa au Kwa sababu sifanani na hiyo avatar?Kwa avatar yangu huyu tunaelekea na kwa asilimia 99.9,% ila tofauti yangu na yake yeye ni Raila wa woshitong dc na mimi ni mtanzania
Pm tuyajenge mrembo wa bandiaMmmh, haya bana lord eyes, nipe deal sasa,nipate pesa au Kwa sababu sifanani na hiyo avatar?
Hahaaa, mrembo bandiaaa, na huu ukibonge wangu mtaani naitwa mrembo og, not bandiaaNjoo
Pm tuyajenge mrembo wa bandia
Hahaaa, mrembo bandiaaa, na huu ukibonge wangu mtaani naitwa mrembo og, not bandiaa
[/QUOTED]
Sikuweza karibu pm basi
Duuh, pm tena. Ndyo wapi hukooSikuwezi karibu pm basi
I
Muulize mleta mada, yupo nchi gani?Nani alikudanganya kuwa hiyo picha imepigwa nchi ya Kiarabu?
Private messageDuuh, pm tena. Ndyo wapi hukoo