kaseva
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 473
- 305
Za juma pili!!!
Huku kwetu wazee tuna vijana wengi tu wenye hayo majina tena mfano huyu dogo kikwete kazaliwa mwaka mmoja baada ya mzee kikwete kuingia madarakani
Basi utasikia wazazi wao wakiitwa
Baba kikwete
Mama mkapa
Mama mwinyi n.k
Vipi mnaye magufuli huko mtaani kwenu???!!!!