Huku kupenda noma sana

Huku kupenda noma sana

la loca

New Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
3
Reaction score
0
kuna binti mmoja tunasoma naye chuo kimoja hapa nchini tumeaza chuo mwaka 2011 sasa tuko mwaka wa tatu nilipo muona tukiwa mwaka wa kwanza nilimpenda sana lakin akaniambia yeye anamtu nakwakua mimi nilikuwa natafta mke nikaachana naye lakin kwa sasa anajitahdi kujenga mahusiano ya karibu sana ila nikimwambia kusudi anasema ninaharaka je? Nichukuwe hatua ipi
 
Mchukulie poa, kwani umeshajua kupenda noma, ukipenda umaweza kuchanganya Habari ya kupenda na Hoja mchanganyiko wa mapenzi na mahusiano na urafiki, ila kwa kuwa apataye mke apata kitu chema, vuta subira upate chema.
 
Kwani mwanzoni alipokutosa ulichukua hatua ipi?

Kama unaikumbuka basi chukua hiyo hiyo tena...
 
Naona BIG RESULT NOW unaitekeleza kwa vitendo...
 
Mke hutafutwa kwa msaada wa maombi coz mabinti wa cku izi duuuuuh! ila sio kama unavosaka ww, najua ulitoka secondary ambapo hakuna mabinti wanaojua kutumia uzuri artificial sasa chuoni kumekuchanganya. Soma kwanza, mke mwema hutoka kwa BWANA.
 
huyo kaharibu kwa mpenz wake ndio maana anajisogeza kwako 2liza akili la sivyo utaatumbukia kwe shmo la choo
 
Back
Top Bottom