Huku kuisoma namba hakumchagui mtu

Huku kuisoma namba hakumchagui mtu

Unaota usingizi wa mchana. Nadhani na wewe ni jipu. Kwa hiyo atafuatia Lowasa!!!!
 
Huu msemo wa kusoma namba sasa hivi umegeuzwa kama utani vile, ukimkuta mwana CCM ukamkumbusha hayo maneno anasema "aaghh ilikua utani tu bhana.... usichukulie kila kitu serious". wanaumia, walitegemea makubwa, wameishia kupata vidonda, waliiba kura hadi zikazidi.

Wanaona aibu kurudi kuomba radhi kwa kuwakosea wananchi.... CCM wanajuta na wameshikwa "sehemu za siri" hawamumunyi wala hawachemi.
 
Back
Top Bottom