Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,790
- 24,378
Nimefuatilia kura nyingi za Umoja wa mataifa, kwa asilimia kama 80 ya kura zote, Tanzania huwa ni "abstention" tu, yaani hawapingi wala hawakubali; wapo wapo tu! Hata kura ya busara ya kuunga mkono amani huko Ukraine wao wanasema, hatuna la kusema.