Huko ni kwa mme wangu!

Huko ni kwa mme wangu!

Tunaoa tu kuwafurahisha wazazi, otherwise I'd rather remain single!! Unaona mke wanakuchapia tu..aah!!

Umenigusa sana ndugu. Hakika tunaoa na dada zetu wanaolewa kuwafurahisha wazazi.
Nina mifano mingi, kuna madada nilio soma nao na walikuwa wakichakachuliwa na washikaji wengine leo hii wanaolewa na wengine! Hili linaniogopesha. Unachukua mtu unampandisha altareni au msikitini, huko nyuma jamaa yake wa zamani anajisifia, jamaa kaoa nini? Nimekula sana, nimenawa na kuoga, hakuna kitu pale na muda wowite nikitaka napata! Naogopa sana!
 
Tunaoa tu kuwafurahisha wazazi, otherwise I'd rather remain single!! Unaona mke wanakuchapia tu..aah!!

Hakuna kwenye nafuu siku hizi,si wanaume wala wanawake,full michepuko!!
 
Niliwahi kumtawanya demu flani kitambo mtoto mzuri sana,kifua cha ukweli...ila nilipigwa mafuruku kuyashika hayo atiti aisee...

Kweli wapo ambao hawataki kuguswa,wao wanasema eti yatalala yatakuwa kama ndala za 'kidoti'!
 
"Ahaaaaa unafikiri hauwezi kupata ukimwi kwa kukaa na familia yako mkiangalia TV? ... ​siku hizi hata wanawake wana michepuko"

Njia kuu yako ni mchepuko wa mwenzio
 
Umevurugwa.. Ukitaka kuchanganyikiwa duniani wewe fuatilia vitu vidodo vidogo vya kijinga,lazma mwisho utakua chizi.

Sawa mkuu mimi nimevurugwa ila nikuulize tu hivi huo mchepuko wake angeufananaisha na "bikira maria" na wewe usingeng'aka ungechukulia ni kitu kidogo???
 
Dunia ina mambo,kweli tembea uone au usikie mengi.

Leo nimeng'oa mlupo,kidosho swadakta mtoto wa watu nikajilie vyangu. Kufika loji nikamchojoa viwalo vyake. Nikaanza maandalizi ya kumwelekeza njiakuu.

Nikaanzia manjonjo,ile kufika kifuani kwenye mtindi nikapigwa stop,usiguse hapo,hapo ni kwa ajili ya mme wangu. Mme wangu tu ndio anaruhusiwa kunyonya. Nimechoka,kumbe kuna vitu vingine ni kwa ajili ya mme na vingine sie wadandiaji!

Huyo atakuwa ananyonyesha, amekusaidia usishibe maziwa.
 
ulikuwa hujui ni mke wa mtu?

all goes around come back around. kama unakula mke wa mtu na wako ataliwa pia tena ataachia anyonywe mewata kabisaa.
 
Tafadhali edit hilo neno KIBLA, hilo neno si mahala pake hapo kabisa. Kibla ni uelekeo(direction) maalumu wa waislamu ulimwenguni kote katika kutekeleza ibada zao kama swala ,kuchinja n.k , kulihusisha na tendo ovu la zinaa ni kutowatendea haki kabisa. Kuwa mstaarabu! Usiwachokoze halafu wakianza kusema useme wanaleta udini. Chonde chonde badilisha hilo neno

Cc#mkoroshokigoli

Labda nina makengeza...hilo neno Kibla mbona silioni......... hapa
 
Dunia ina mambo,kweli tembea uone au usikie mengi.

Leo nimeng'oa mlupo,kidosho swadakta mtoto wa watu nikajilie vyangu. Kufika loji nikamchojoa viwalo vyake. Nikaanza maandalizi ya kumwelekeza njiakuu.

Nikaanzia manjonjo,ile kufika kifuani kwenye mtindi nikapigwa stop,usiguse hapo,hapo ni kwa ajili ya mme wangu. Mme wangu tu ndio anaruhusiwa kunyonya. Nimechoka,kumbe kuna vitu vingine ni kwa ajili ya mme na vingine sie wadandiaji!

Wewe na huyo mwanamke wako woooote ni wale wa DIFISHEN SEVEN!Nina wasiwasi na huko upstairs kwako, una big problems sio bure
 
Dunia ina mambo,kweli tembea uone au usikie mengi.

Leo nimeng'oa mlupo,kidosho swadakta mtoto wa watu nikajilie vyangu. Kufika loji nikamchojoa viwalo vyake. Nikaanza maandalizi ya kumwelekeza njiakuu.

Nikaanzia manjonjo,ile kufika kifuani kwenye mtindi nikapigwa stop,usiguse hapo,hapo ni kwa ajili ya mme wangu. Mme wangu tu ndio anaruhusiwa kunyonya. Nimechoka,kumbe kuna vitu vingine ni kwa ajili ya mme na vingine sie wadandiaji!

Packing Reserved
 
Duh.......hukujua kuwa ni mke wa mtu?

Nilijua mkuu. Mliooa tunzeni wake zenu,wapeni haki yao ya ndoa,mkishndwa itabidi tuwasaidie tu. Wewe unaoa alafu unakaa mtwara mke wako yuko mwanza alafu hamkutani hadi miezi 9 unafikiri yeye afanyeje?
 
Back
Top Bottom