Sasa hilo neno kibla lilikuwa na ulazima gani? Tafsidaa zote umeona hio ndo imetoshea?
Dunia ina mambo,kweli tembea uone au usikie mengi.
Leo nimeng'oa mlupo,kidosho swadakta mtoto wa watu nikajilie vyangu. Kufika loji nikamchojoa viwalo vyake. Nikaanza maandalizi ya kumwelekeza kibla.
Nikaanzia manjonjo,ile kufika kifuani kwenye mtindi nikapigwa stop,usiguse hapo,hapo ni kwa ajili ya mme wangu. Mme wangu tu ndio anaruhusiwa kunyonya. Nimechoka,kumbe kuna vitu vingine ni kwa ajili ya mme na vingine sie wadandiaji!
Ndugu angalia "vipedo" wasije kukuibukia ha ha ha ha
Sasa hilo neno kibla lilikuwa na ulazima gani? Tafsidaa zote umeona hio ndo imetoshea?
kibra sindiko jua linako toka?. yaani kutazama kibra ni kuabudu jua
ulimtoa kwenye kigodoro?
Kwa waislam, unapotaka kuchinja mnyama lazima umgeuzie kibla! Hapa nadhani anamaanisha alipotaka "kuchinja" huyo mke wa mtu
kwahiyo papuchi MUMEWE haimuhusu?
Unless unamjua huyo msichana...wanawake sikuhizi wanapaka madawa ya kulevya/sumu kwenye maziwa....ukilamba tu unapigwa na usingizi wa hatari...anachukua kila kitu (hadi nguo). Ukiamka unajikuta hospitali na mkewako kasimama pembeni.
Hawa wachakachuaji wake za watu ni kuwaacha tu ili yawakute
Tafadhali edit hilo neno KIBLA, hilo neno si mahala pake hapo kabisa. Kibla ni uelekeo(direction) maalumu wa waislamu ulimwenguni kote katika kutekeleza ibada zao kama swala ,kuchinja n.k , kulihusisha na tendo ovu la zinaa ni kutowatendea haki kabisa. Kuwa mstaarabu! Usiwachokoze halafu wakianza kusema useme wanaleta udini. Chonde chonde badilisha hilo neno
Cc#mkoroshokigoli