Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 969
- 3,065
Kuna Rafiki yangu, ameuza eneo lake kwa 100m Tsh, Sasa huyu dogo, alikua na eneo ambalo ameshindwa kuliendeleza.
Kuna uzembe ambao Mimi nimeuona ameshaufanya mara tu baada ya kupata hiyo 100m.
amenunua eneo Sehemu ingine anafanya ujenzi, Kuna Manzil anaishi nae Dem kashajiongeza anamwambia mshikaji kua ana mimba. Na site wanaenda wote kuangalia ujenzi na Sasa hivi Dem mda wote anajifanya anataka akasimamie site. Na ukiangalia ujanja ujana wa yule mwanamke huyo mchizi uko mbeleni atapasuka ajutie maamuzi yake.
Katika maongezi maongezi mchizi kajisahau kua alishauliwa na mwanamke wauze lile eneo wakanunue kwengine, hapo nikwaza Faster kua kama mwanamke amemshauri wauze wakanunue kwengine Tayari mwanamke alitazama udhaifu wa kushindwa kupaendeleza ameutumia kama njia ya kufanikisha malengo yake.
Mwanamke sasa hivi anaonyesha kipaumbele sana kwenye mikakati kwenye hiyo pesa, ameanza kupunguza mpaka baadhi ya Marafiki ambao wako karibu na mshikaji, mchizi Hana mtoto ata mmoja mwanamke ametumia pia gepu hilo kucheza karata yake.
Ninachokina ni kama mshikaji Mali yake ameiweka Rehani huyo anaemuita Honey one day mchizi atajutia alichokifanya pia mwanamke sasa hivi anakuja mpaka kwenye Biashara kumsoma mshikaji kipato chake na mzunguko wa pesa, maana mshikaji amenambia Dem anamuomba amnunulie Ist maana.
Kwa ninachokiamini sio Kila Rafiki ni Rafiki mzuri, kwa sasa hivi naona huyu jamaa hata umshauri Nini hatokuelewa ameshakua chizi kwa mwamvuli wa mimba. Na kwa sasa kusema Tuongee chochote kwa huyu mshikaji ni lazima kitafika kwa mwanamke tumekua kama ndugu wasikilizaji tu.